CHADEMA & CCM Jiangalieni!

Hivi ni kweli 95% ya wabunge wa kupendelewa wa chadema ni kutoka kanda ya kaskazini?

Kama kweli, ni vipi utawafananisha na CCM? hiyo si ndio majimbo and kanda at its best?
Usitake kupotosha watu hapa kuna wabunge wa sehemu mbali mbali wa viti maalumu
 
Hivi Chadema nacho kinaaminika kitachukua nchi ya Tanzania kama chama tawala?, labda miaka 1000, mbele ambayo nayo haitafika kabla ya dunia hii iliyochoka na kuchakaa kufikia mwisho wake ili kukaribisha ujio wa dunia mpya, labda kama Chadema wataongozea motoni hapo sawa.
.
"USIJITUKUZE MBELE ZA USO WA MFALME, WALA USISIMAME MAHALI PA WATU WAKUU".
 
Kibudu... I mean Shibuda hastahili kupewa hata dakika chache za kumjadili.
You missed the point once again! Alichosema Malecela ni kwamba tunajidili hoja zinatokana na chimbuko la wao kufikia kutamka hayo waliyo tamka. Hakusema tujadili majina!!! In short kama majina yanakupa shida assume ameongea kipenzi chako Dr. Slaa au Dr. Kikwete... then jadili sasa...
 
- Matukio ya hivi karibuni kati ya Wabunge Nassari na Shibuda, yanaleta maswali magumu sana kuliko majibu yake. Ninasema hivi CCM wasipuuze maneno ya Nassari na pia Chadema wasipuuze maneno ya Shibuda wayatafakari na kuyafanyia kazi, mifano ipo mingi sana kwa mfano kuna wakati hatukutaka kuongelea katiba wala Muungano, lakini sasa wakati umefika ambapo ukweli upo wazi kwamba tungenongea haya kule nyuma, saa hizi tungekwua mbali sana.

- So Chadema na CCM, wasiwapuuze Nassari na Shibuda, kwa sababu reading between the lines kuna ujumbe mzito wa kisiasa kwenye maneno yao.

William.
vp na maneno ya lusinde yenyewe si ya kuyachukulia kwa tahadhari?
 
Hivi ni kweli 95% ya wabunge wa kupendelewa wa chadema ni kutoka kanda ya kaskazini?

Kama kweli, ni vipi utawafananisha na CCM? hiyo si ndio majimbo and kanda at its best?

1. Suzan Kiwanga
2. Mama Kaihula
3. Chiku Abwao
4. Mama Nyerere
5. Muhonga Ruhanywa
6. Anna Maulida Komu
7. Christina Mughwai
Hawa nao ni wa kaskazini?
 
You missed the point once again! Alichosema Malecela ni kwamba tunajidili hoja zinatokana na chimbuko la wao kufikia kutamka hayo waliyo tamka. Hakusema tujadili majina!!! In short kama majina yanakupa shida assume ameongea kipenzi chako Dr. Slaa au Dr. Kikwete... then jadili sasa...

ha ha ha!! ukubwa siku zote dawa!
 
Kujitenga haiwezekani bali tu Kama magamba yatajipa nguvu ya kutenganisha asili kwa manufaa yao dhidi na baina ya uislam. Other wise you better get ready to be sewed or death sentence- chagueni moja zaidi ya hapo Ni kukwepa jibu sahihi.
 
Nimependa Jibu lako kwa Mtoto wa Malecela. Unajua Wiliam hataki kuweka wazi tatizo la shibuda na badala yake anaona tatizo la CDM tu. CCM kuna matatizo mengi lakini kwake yeye haoni anaona tu ya CDM. This is not a good analysis especially to him(Wiliam) who I think is well educated outside Tanznia.

Mkuu will hajasoma bali ni 4M4 falier pia nje ya nchi hajasoma bali yeye ni mbeba cargo wa meli za kwenda nje pia kauungaunga vijicertificate tu hana chochote huyo alafu ndo huwa anapenda kudis CV za wenzake humu.
MWENYE ILE CV YA HUYU WILL MTOTO WA GAMBA TUIONE WATU WAJIONEE.
 
Usitake kupotosha watu hapa kuna wabunge wa sehemu mbali mbali wa viti maalumu

MAJINA YA WABUNGE WATEULE 23 WA VITI MAALUMU WA CHADEMA NI:

  1. Lucy Owenya,
  2. Ester Matiko,
  3. Mhonga Ruhwanya,
  4. Anna Mallac,
  5. Paulina Gekuli
  6. Conchesta Rwamlaza,
  7. Suzan Kiwanga,
  8. Suzan Lyimo,
  9. Grace Kiwelu,
  10. Regia Mtema [Marehem]
  11. Christowaja Mkinda,
  12. Anna Komu,
  13. Mwanamrisho Abama,
  14. Joyce Mukya,
  15. Leticia Nyerere
  16. Chiku Abwao.
  17. Naomi Kaihula,
  18. Grace Kiwelu,
  19. Rose Kamili,
  20. Christina Lissu Mughiwa,
  21. Raya Ibrahim,
  22. Philipa Mturano,
  23. Miriam Msabaha
  24. Rachel Mashishanga.

Tena kusema 95% nimekuwa "conservative" ukiitazama vizuri utakuta zaidi.

Vipi Lowasa na bomu la vijana hiyo sio hoja au hujaiona? Vp Makamba Sr na Nape kuwa mmiliki wa ccm hiyo nayo sio hoja?
Vp umebinafisisha fikra?
@Noti.
 
Hivi Chadema nacho kinaaminika kitachukua nchi ya Tanzania kama chama tawala?, labda miaka 1000, mbele ambayo nayo haitafika kabla ya dunia hii iliyochoka na kuchakaa kufikia mwisho wake ili kukaribisha ujio wa dunia mpya, labda kama Chadema wataongozea motoni hapo sawa.
.
"USIJITUKUZE MBELE ZA USO WA MFALME, WALA USISIMAME MAHALI PA WATU WAKUU".

Ww nakufananisha na yule mwanamke msamaria alotaka kujipendekeza kwa Yesu huku akidhan Yesu ni mwanadamu mwenye tamaa kumbe ni Mkombozi wake.
 
Ribosome wewe ni mr.pumbaman upo kiroporopo tu.....kawambie wanao kutuma kuwa wewe ni mjamzito huwezi kazi
 
Last edited by a moderator:
Tukumbuke kuwa ni Shibuda huyo huyo aliyekuwa na tatizo na establishment ya CCM kuhusu jinsi ya kupata wagombea wa Ubunge na ndicho kilichompeleka CDM. Labda tujiulize tatizo ni CCM, CDM or Shibuda? Nani hapa ni common denominator (main tatizo?)

- Tukiachana na Shibuda, bado hoja yake inajadilika iwe CCM iwe ndani ya CDM, hoja yake inajadilika!

William.
 
Vipi Lowasa na bomu la vijana hiyo sio hoja au hujaiona? Vp Makamba Sr na Nape kuwa mmiliki wa ccm hiyo nayo sio hoja?
Vp umebinafisisha fikra?
@Noti.

- Ungezifungulia thread zake, hii inahusu Nassari na Shibuda on hoja zao!, kila hojs na wakati na pahali pake!

William.
 
Mkuu will hajasoma bali ni 4M4 falier pia nje ya nchi hajasoma bali yeye ni mbeba cargo wa meli za kwenda nje pia kauungaunga vijicertificate tu hana chochote huyo alafu ndo huwa anapenda kudis CV za wenzake humu.
MWENYE ILE CV YA HUYU WILL MTOTO WA GAMBA TUIONE WATU WAJIONEE.

- Unajua Great Thinker anatakiwa kujua kwamba Meli zote za kimataifa Duniani, kama nilizowahi kuzifanyia kazi hakuna hata moja isiyokuwa na machine maalum za kubebea mizigo yake.

- Elimu yangu ipo very clear na unajua sana maana ungekuwa unaamini unachokisema ungeileta hapa, sasa unataka na mimi nidai CV za baadhi ya Viongozi wenu huko upande wa pili? ha! ha! ha! ha!

- Kwenye mtoto wa gamba atleast unasema tatizo lako la msingi; HOWEVER: vipi kuhusu mada maana hujaigusa kabisa zaidi tu ya kunijadili mimi! ha1 ha! ha!

William.
 
Labda ni ipi hoja ya Shibuda ya kuzingatia.......Hamu ya kugombea urais kwa kumshirikisha JK au hofu ya wakaskazini kwenye chama chake......Ya Nassari sote tunayajua...

Kwenye nchi hii watu hawaishi hofu :

Aliyefankiwa kupata utajiri ataitwa Free mason
Ukiwa albino unaonekana dili la utajiri
Mwanamke akifanikiwa kimaisha ....amehongwa
Kuna kiongozi mmoja amesema ukigusa mafisadi papa utatikisa nchi
Kila kiongozi anayeteuliwa anatizamwa kwa jicho la udini

Na mengine ya kijinga chungu nzima.
.....................Sioni mantiki ya akina Shibuda na Nassari kuunganishwa na ukaskazini......Shibuda kayasema aliyoyasema baada ya kiongozi wa BAVICHA kumnanga na hatimaye yeye kuunganisha na ukaskazini.........Kwa hiyo na akina siye tupalilie huu upuuzi?

Nassari tulimuona, ni kweli alichokisema ni ujinga lakini sijaona nia hasa ya kutoka moyoni zaidi ya hamasa zake tu...Na hata kama ingekuwa amemaanisha alichosema hivi Shinyanga na Mwanza nayo ni kaskazini (kwa mtazamo wa Kichadema).

Hebu tuhangaishwe na muundo na mifumo ya vyama vyetu badala ya kuangalia namba za makabila kwenye vyama na kuhitimisha............
 
Back
Top Bottom