CHADEMA & CCM Jiangalieni!

CHADEMA & CCM Jiangalieni!

Nyumba yako inaungua, ya jirani iko salama wala moto hujaisogelea ila wewe badala ya kuzima moto ktk nyumba yako wewe unakimbia kwa jirani kumuambia huyo jirani eti awe makini nyumba yake isishike moto. W.J. Malecela nakushauri uwape ushauri viongozi wa chama chako mjadili kauli ya lowasa hasa ile ya 'ukosefu wa ajira ni bomu linalokaribia kulipuka' na ile ya 'tatizo kubwa la CCM ni uongozi mbovu bila kusahau ile ya 'maamuzi magumu' Pia washauri wenzako wa CCM mjadili hoja ya makamba ya kuwa nape anakipeleka chama cha CCM kama ni chama chake binafsi bila kusahau hoja ya malisa kuwa kwa nini mwenyekiti wenu anawatoa watendaji wa chama na kuwapa majukumu mengine ya ukuu wa wilaya. Baada ya kuzima moto ktk nyumba yako ni ruksa kutoa msaada wa kutoa precaution juu ya moto unaohisi unaweza kuchoma nyumba ya jirani yako. Otherwise utakua unaonekana huna upendo na nyumba yako na utakua umesahau kuwa the charity begins at home na hapo ndo utadhihirisha kuwa una upendo wa mshumaa wa kuwamulikia wenzako while mshumaa wenyewe unaungua. Then last sunday ulivyokua na Felex mrema(the former MB of Arusha) hakukudokeza vuguvugu la mabadiliko lilivyoshika kiasi cha kuwafanya wana CCM kuchanganyikiwa na kupoteza dira kama wajenzi wa mnara wa babeli??

- Maneno mazuri sana lakini tatizo hii sio thread yake, ungefungulia thread yake, otherwise hii inahusu maneno ya Nassari na Shibuda, vipi una cha kusema kuhusu?

William.
 
kaka rudi shule kwanza ili usafishe CV zako au basi soma hata QT upate hata cheti cha 4M4 itatosha kuliko hivi ulivyo kwani ni aibu kwa baba lizma kutegemea fedha za baba na mama pia na kutegemea kupigiwa mapande ya mjuano pasipo kuwa hata na qualification za kutosha, pia ni aibu kwa toto la kigogo kama ww ambalo lilikimbia shule alafu leo hii linataka lituongoze gosh..! Soma kwanza kwani fedha na magari ya baba si yako kwani siku CDM tukichukua nchi itabidi tupitie upya vyeti vyenu tujilidhishe kama kweli mlistahili kupigiwa mapande kiasi hicho.

- Tatizo lako ni kubwa sana kuliko maelezo, nimekukataa kwa sababu hufai umri mkubwa, elimu nzuri lakini kichwani maadili hamna, halafu mlevi sana machungu ya mapenzi usilete huku JF, nimekwambia mara nyingi kule Facebook kuna watoto wengi sana wa Viongozi jaribu wengine! ha! ha! ha! ha!

yani hujui hata unachokiongea broda, jiulize kwanza unamwambia nan hayo maneno! Mi huwa nawachana live watu kama nyie mnaodhan siasa ni mziki basi kla mtu anaweza kuimba hata mapambio, Majibu ambayo huwa unayjibu humu JF eiher kwa kupewa challenge huwa unakurupuka kitu ambacho kwa mtu anayetaka kuwa kiongozi huwa anafanya by simple analysis jxt luk mnyika, kabwe then na ww pia ujipime pia siasa hujui hata kidogo na unadhan siasa ni kitu cha kurithi toka kwa baba au mama, Hizi si zama zile za nkwame za kutawaliwa na ukoo bali hiki ni kizazi kinachotaka watu wenye vision kama kabwe au mnyika na sio ww mtoto wa kigogo uliekimbia shule alafu leo uje ututawale hiyo sahau au labda uendelee na zile biashara zako za kuvusha madawa ya kulevya kwenye meli kama pale zamani. Lol...!
 
ha ha ha!! ukubwa siku zote dawa!
.WILLIAM ACHA KUKURUPUKA UNAANZA SIASA ZA AKINA JOHN MALECELA HUNA JIPYA KWENYE SIASA WEWE NI ZAO LA MAFISADI,MBONA HUJAWEKA HADHARANI CCM ILIVYOHONGA KWENYE UCHAGUZI WA EAST AFRICA.MWANASIASA MAKINI HAMUNG'UNYI MANENO,WEKA MAMBO WAZI YAJADILIWE BADO HUJAKOMAA KISIASA.JIFUNZE KUTOKA KWA AKINA NYERERE,MANDELA,ZITO LUMUMBA DR SLAA UTAFAIDIKA SANA,:hat:
 
- nia yako ni kunitoa kwenye mada siwezi kukupa hiyo nafasi, haya maneno mengi yasiyo na tija kwa taifa yapeleke kule chini kwenye Celebs ufungulie thread, hapa ninasimamia hoja ya maneno ya Nassari na Shibuda kwamba wana hoja na CCM na Chadema wanahitaji kuwasikiliza!, Waliokoimbia shule huko kwenye chama chako unawajua sana, na unajua CV yangu ilipo! ha! ha! ha!

- Vipi una cha kusema on that?

- Mkuu haya ungefungulia thread yake maana hapa hayahusu, karibu sana next time!

William.
 
ninawasiwasi sana na political science yako william huwi muwazi una mafumbo na hutaki kuudhi kundi fulani sababu hujui ni lipi litaogoza nchi 2015 mwana siasa mkweli hatafuni maneno anasemawazi sema usiogope sema
 
1. Suzan Kiwanga
2. Mama Kaihula
3. Chiku Abwao
4. Mama Nyerere
5. Muhonga Ruhanywa
6. Anna Maulida Komu
7. Christina Mughwai
Hawa nao ni wa kaskazini?

Ebu taja wote mkuu wangu tujadili kama kweli wa Kaskazini ni wengi.
 
- nia yako ni kunitoa kwenye mada siwezi kukupa hiyo nafasi, haya maneno mengi yasiyo na tija kwa taifa yapeleke kule chini kwenye Celebs ufungulie thread, hapa ninasimamia hoja ya maneno ya Nassari na Shibuda kwamba wana hoja na CCM na Chadema wanahitaji kuwasikiliza!, Waliokoimbia shule huko kwenye chama chako unawajua sana, na unajua CV yangu ilipo! ha! ha! ha!

- Vipi una cha kusema on that?

William.

ww MBUMBUMBU na huna jipya zaid ya kutafuta cheap populality humu alafu unajifanya upo neutral kitu ambacho ni unafiki pia kuchekacheka ni tabia za kike hizo jifunze na iga mifano kwa wakina kabwe na mnyika kwao kucheka si mara zote alafu bado nakusisitiza kuwa huna sifa za kuwa kiongozi kwani umekimbia shule na huna hata cheti cha 4M4 then uje utuongoze!! Gosh...
 
- In the big picture Shibuda ana tatizo na establishment na njia inayotumiuka kumtafuta mgombea wa urais huko!

William.

Mkuu nakuunga mkono,
Cha ajabu baada ya kuangalia ni changamoto gani ameanzisha wanaona njia rahisi ni kumuondoa katika chama.
 
Hivi ni kweli 95% ya wabunge wa kupendelewa wa chadema ni kutoka kanda ya kaskazini?

Kama kweli, ni vipi utawafananisha na CCM? hiyo si ndio majimbo and kanda at its best?

Unauliza majibu?

Changanya na za kwako!
 
- Maneno mazuri sana lakini tatizo hii sio thread yake, ungefungulia thread yake, otherwise hii inahusu maneno ya Nassari na Shibuda, vipi una cha kusema kuhusu?

William.

Cha kusema nimeshakisema ila unajivua ufahamu kuhusu content iliyopo kwenye post yangu.
Nachomaanisha, kilichosemwa na shibuda pamoja na nassary ni vidogo sana kufananisha na yaliyosemwa na wana CCM (lowasa, beno malissa n.k) hasa ukizingatia wewe ni mwana ccm ni bora ujadili makubwa ya chama chenu alafu ndo ujadili madogo ya chadema that why nimekusisitiza ujaribu kuzima moto mkubwa unaoteketeza nyumba yako kabla ya kwenda kutoa precaution kwa jirani yako kuwa ajihadhari na moto ambao bado hujaanza kuteketeza nyumba yake.
Mkuu tunafata ushauri wa mtu aliyeonyesha mfano kwake, sasa kuna haja gani ya kukimbilia ya watu while yako yanakuendea vibaya??
 
- Matukio ya hivi karibuni kati ya Wabunge Nassari na Shibuda, yanaleta maswali magumu sana kuliko majibu yake. Ninasema hivi CCM wasipuuze maneno ya Nassari na pia Chadema wasipuuze maneno ya Shibuda wayatafakari na kuyafanyia kazi, mifano ipo mingi sana kwa mfano kuna wakati hatukutaka kuongelea katiba wala Muungano, lakini sasa wakati umefika ambapo ukweli upo wazi kwamba tungenongea haya kule nyuma, saa hizi tungekwua mbali sana.

- So Chadema na CCM, wasiwapuuze Nassari na Shibuda, kwa sababu reading between the lines kuna ujumbe mzito wa kisiasa kwenye maneno yao.

William.
Sibuda chdema wamesha m-paralyse, alichoongea Nassari si mnachotafsiri.Ni mitizamo mliyokuwa nayo vichwani ndio yamepelekea kuwa na tafsiri hiyo haraka.Na ni ngumu kuwabadili.

Ila CCM wajue kuwa watoto wadogo wa shule huwa sometimes CCM na serikali yake wanapofanya upuuzi ,huwa kajiografia chao kadogo kanawapeleka jiuliza kwanini bandari ya Tanga, istumike saidia ukanda unaoanzia tanga,Kili, Arusha hadi mwanza?Hata mimi miaka yote nimekuwa naona maamuzi yanayofanyika hapo dar huwa hayafai ukanda huu, na hata watu wa Mbeya mpaka katavi wanaona hivyo. So si mbaya pia mkaona na kutambua habari ya watu wa north kujiona kuwa wangefanikiwa zaidi nje ya bla blah za DSM.
Chukulia mfano wa utalii? mawaziri wengie hawajui hata aina 5 za utalii, ndio maana watu kibao .wanshangaa serikali haijaona kuwa dara inaweza fanya utalii mkubwa kuliko hata bagamoyo, achilia mbali madini km Tanzanite, mikataba imeingiwa hapo magogoni ila inaathiri watu wa Kaskazini na uchumi wa nchi.na masuala ya ardhi ,hao wa magogo manadhani mzungu ni km mchaga anayemvua mzaramo nyumba Kariakoo.Wazungu wakichukua maeneo wanafanya kila kitu private. private road, private water source, etc.Na yote haya yana maanisha kuingia ktk mtaa tuu na si nyumba ya mtu binafsi unaihitaji permit.

Magogoni hawajaona matukio mabaya nje ya pua, beaches zote dar mafisadi wanajenga wanaziba njia ili masikini wasifike huko na ikibidi hata serikali isifike huko,ndio maana kuna bandari kibao haramu.Yote haya yanaashiria tofauti za mitizamo na vipaumbele ktk maisha.

kuna mambo yanatia kichefuchefu km kupata documents, kupata huduma za bandari lazima uje dar na mara nyingine unamkuta mtu kachoka kifikra na hajui unachotaka akusaidie kwa vile ni nje ya fikra zake ila ndio hivyo ana mamlaka.Kwa nini sasa uhitaji kuwa na dar.Halafu unasikia kauli kuwa watu wa kaskazini hawatashika nchi nahakuna anayekuja kemea au kuomba radhi hadharani?

Nakumbuka those days primary school tuliongea sana hiyo mambo ktk honest discussion za kitoto.Tulipokuwa tunakosa nafasi za kusoma Kilimanjaro, wakati wazazi wetu wamechangisha fedha, rasilimali kma mawe,mbao na nguvu ili kujenga shule wakati wengine wanacheza ngoma na bao.Halafu suala la shule tunaambiwa kuna quota.So majimbo nimore natural, kwani jimbo litakalo laza damu litaomba msaada ktk federal government na ikiwa mara nyingi then jitihada maalumu zifanyike.

Off course nilikuja kuwa brainwashed na elimu ya magamba na kuzikubali siasa za kivivu na za upendeleo.ndio maana ukinagalia kwa makini mali za huyo mnene wa magogoni utaona kuwa, pamoja na kuwa madarakani miaka kibao,utagundua kuwa hakuweza tengeneza hela nyingi km alivyopata miaka hii 10 aliyokuwepo na si kwa uwekezaji makini ktk uchumi binafsi.Kaskazini watu wanatengeneza hela popote kuanzia uza pua za ng`ombe mpaka baishara rasmi.
 
Mtoto wa chigwemisi una mning'inio wa kushindwa ubunge wa afrika mashariki, tuliza kichwa, acha angalau ipite miezi sita.
Nilidhani ungesema tuione hatari inayotamkwa na ccm kuichora mipaka ya kanda ya kaskazini na kutuaminisha kuwa kuna uspesho fulani huko.
Kwa kuwa zanzibar itajitoa kwenye muungano siku moja, huku bara tutaibuka na kanda ya kaskazini kama kianzio,
Hakiwezi kuanzia hewani, chama lazima kiwe na pa kuanzia na kujitanua kuelekea mashariki-magharibi, kusini-kaskazini.
 
ww MBUMBUMBU na huna jipya zaid ya kutafuta cheap populality humu alafu unajifanya upo neutral kitu ambacho ni unafiki pia kuchekacheka ni tabia za kike hizo jifunze na iga mifano kwa wakina kabwe na mnyika kwao kucheka si mara zote alafu bado nakusisitiza kuwa huna sifa za kuwa kiongozi kwani umekimbia shule na huna hata cheti cha 4M4 then uje utuongoze!! Gosh...

- Great Thinker, Unasema sina sifa za uongozi, lakini nijifunze kuwa kama Mnyika na Zitto, ha! ha! ha! umenivunja mabavu sana bro! ha! ha! ha!

William.
 
Mtoto wa chigwemisi una mning'inio wa kushindwa ubunge wa afrika mashariki, tuliza kichwa, acha angalau ipite miezi sita.
Nilidhani ungesema tuione hatari inayotamkwa na ccm kuichora mipaka ya kanda ya kaskazini na kutuaminisha kuwa kuna uspesho fulani huko.
Kwa kuwa zanzibar itajitoa kwenye muungano siku moja, huku bara tutaibuka na kanda ya kaskazini kama kianzio,
Hakiwezi kuanzia hewani, chama lazima kiwe na pa kuanzia na kujitanua kuelekea mashariki-magharibi, kusini-kaskazini.

- Great Thinker, unasema Chadema wakishindwa Urais huwa wanakaa miezi sita bila kuongea siasa? Is that so? ha! ha! ha! ha!

William.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom