CHADEMA bwana

Bebii ............ kama user Id yako acha kufikiri kwakutumia Masaburi.... Wewe kwa fikra zako kusaidiwa ni mpaka ulishwe, uvikwe uzikwe nk... Huna tofauti na Thomaso aliye taka kuona na gusa ndipo asadiki.
Michango ya vyama inaoneka kwani inasaidia kuiamsha serekali angalao ifanye mambo ya msingi kuboresha mifumo ya maisha kama sekta za afya, shule, masoko, kilimo kwanza kama hapa bongo...
Mifumo inapo boreshwa inaleta unafuu kwa wananchi....

Leo takuwa kwa Mchungaji Israel Natse wa Karatu ndio kanialika leo
Okey safi sana, hapo mtapata nyama ya nguruwe safi kabisa. Vipi mmepokea msaada wa alua tani ngapi kutoka uarabuni safari hii?

mtu akitoka theater kwa operation inawezekana akili zisirejee zote....na ukigundua hilo ukagombana na mtu kama huyo then itakuwa mwenye matatizo ni wewe uliye mzima na unajua ni wapi pazima penye kukuweka sawa wewe binafsi..ipo siku wagonjwa watagundua nini shida zinawasumbua..​ila sikio la kufa nalo inawezekana kutosikia dawa.......

Duh nchi hii kweli ina list ndefu ya mazuzu,anayekusanya kodi ni nani au hujui kwa sababu wanajinufaisha wao na wake na watoto wao,njaa kali

Toa kamasi wewe usijiropokee hovyo

TABULARAZA,usigeuze JF kuwa kijiwe cha mipasho mkuu

ni raisi wako pia

Ni rais aliyechaguliwa na tume ya uchaguzi, mimi sikumpa kura yangu bebii, sioni fahari kuwa na mtu kama huyu eti akiitwa rais wa nchi niliyozaliwa au ninayoishi.

:S
Majimbo yote ya CDM yako juu sana mahosipital yamejaa dawa,shule za kata zina walimu wengi kuliko wanafunzi,barabara zimejengwa mpaka chumbani,mabomba ya maji yanatoa maziwa na asali CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…