Punguza hasira chambua hoja kwa fikra huru na data.
Katika Afrika Maraisi kutoka CCM PEKEE ndio ambao hawajawahi kuvunja katiba kwa kujiongezea muda wa kutawala kwa kukawiza au kuhairisha uchaguzi kwa sababu yoyote ile.
Kikubwa zaidi kufikiria kutaka kugombea tena baada ya awamu zao kupita ingawaje watanzania wengi huwa bado wanawataka.
Hivi si vitu vidogo kabisa wala vya kubeza kwani kwa uroho wa madaraka wa waafrika na kungekua hakuna democrasia ya kutosha haya yasingewezekana.
Sababu za kijinga kama za Dr slaa za kuhairisha uchaguzi hata kwa waroho wa madaraka zingekuwepo tu kama
1. Hakuna fedha
2. Bado anapendwa
3. Tujenge taifa kwanza democrasia inatugawa.
4. Kuna vibaraka wako upinzani wanataka kuchukua nchi waiuze
.
Wapinzani lazma wajue Democrasia ina hadhari zake anayechaguliwa na wengi ndiye huyohuyo na wasiepuke kabisa kwa kuogopa kuachia vyeo vyao.
Ila bahati mbaya democrasia ndani ya vyama vya upinzani inakiukwa sana na viongozi.
Zamani ilikua kwa vya upinzani kamaUDP CUF NCCR NA TLP Ila sasa Ugonjwa huu unaitafuna Chadema na umeletwa na Dr Slaa.
Chadema itasambaratika ivi punde kama inawatu makin

Kijana kama Ben Saanane umesomeshwa na kazi nzuri unayo serikalini ya ccm;
leo umesimama kidedea kutetea chama ambacho hakieleweki hivi haujisikii vibaya;
Kama mwenyekiti tu anaweza kuamua kutangaza muungano ambao hata ulikotokea
hakujulikani Ben Saanane umeona ufe na tai yako shingoni rudi nyumbani ili utunze heshima yako;
CCM itaendelea kuwa chama tawala Tanzania.
1: Wewe sio wa kwanza kuwa mtabiri,walikuwepo na wakapita
2:Suala la uchaguzi ni suala la kikatiba.Hizi spinning mnazofanya hazitasaidia,tafuta njia nyingine
mkuu mbona umesahau kuwa ccm ni chama cha wala rushwa, wauza sembe, mafisadi na hata wapenda vya bure? Wabunge wengi wa ccm hawajachaguliwa na wananchi bali wamewahonga wananchi kwa pombe,wali, nyama, kanga na tshirt...chadema genge la watu waharifu wala siyo chama cha siasa wengi wao ni wauza na wengine ni wabakaji kama lema.
mbona mwigulu haojiwa kwa mauaji anayofanya? Pia hata tabia yake ya kuchukua wake za makada wenzake mbona ccm hawasemi kitu?naungana na wewe kwa mawazo yako mtu kama ben ni wale wasiojitambua.
chadema mbowe anaweza kuwafanya chochote hakuna hata wa kuhoji ni chama cha mtu.