CHADEMA bado mno Kupambana na CCM

CHADEMA bado mno Kupambana na CCM

kula za rika zote ni muhimu sana kwa CHADEMA. Ni makosa makubwa kujitathimini mafanikio kupitia uchaguzi wa madiwani ambao chadema walifika kila mtaa.
Je wataweza kufika kila mtaa uchaguzi mkuu 2015.

Nachosisitiza ni kati ya 25% ya watanzania wanaohudhuria mikutano ya hadhara vipi kuhusu wasiokuja kwenye mikutano hiyo. Ujumbe uwafikiaje au tuwabeze kuwa wajinga hao? Hawana akili maccm je itasaidia kuwabadili tafakari!!
Bado narudia kusema una ukweli mdogo sana ila umeupamba kwa uongo mwingi sana.

*Kama Chadema waliweza kufika kila mtaa nina uhakika CCM walifika kila nyumba.
Wewe ulitaka CHADEMA wasifike kila mtaa halafu mwisho wa siku wananchi wawapigie kura hapo ndio uamini CHADEMA wanakubalika? You don't know politics but political gambling.

Walianza kusema CHADEMA ni chama cha kidini, kikabila, kikanda, cha msimu nk. Lakini sasa mambo yako tofauti kabisa, CHADEMA kimekuwa chama cha dini zote, makabila yote, kanda zote, wakati wote!!

Mkuu usikae humu mtandaoni pekee njoo uwanja wa mapambano(Ground field) uone namna kasi ya mabadiliko kupitia CHADEMA inavyokwenda vizuri.
 
kaka si kweli kasi ya chadema ni ndogo na habari zao bila kuzitafuta kwenye Jf humu wala hatuzipati.
Mtaangukia pua 2015 kwa kufanya kazi bila kufanya utafiti.
 
tatizo la vijana wanaoshabikia sana ccm,ni wale ambao wanashindwa kukupambana maisha na wanabaki kutegemea huruma ya ccm,matokeo yake ndio haya unakuja na vimada vya ajabu ajabu.....kojoa ukalale.....
 
Kama wewe ni mwenyekiti wa Kata wa CCM au mwanachama wa CCM unayetegemea kuishi kwa kuwepo CCM madarakani bac jiandae tu maana kwa hakika kitumbua chako kitaingia mchanga 2015!Lakini pole,ndo maisha yalivyo!MLA HULIWA!!!!
 
Heshima kwenu wana JF.

Nimekaa nikifikiri kwa mda kutokana na matukio mbali mbali hapa nchini na nchi zingine kama (Misri, Libya, Syria n.k).
Basi nikawa nina waza mambo mengi, lakini jambo kubwa nimekuwa nina waza kuhusu siasa ya hapa kwetu.

Nikaona niweze kushirikiana na wana JF katika mambo ya kuhusu CHADEMA kuwa chama tawala hapa nchini kwetu.

Moja ya mambo ambayo nilitazama:-

1. Demokrasia ya kweli
Je chadema kina demokrasia ya kweli, maana nchi nyingi duniani sasa zimekuwa za kidemokrasia, hivi kweli CHADEMA imekomaa kidemokrasia kiasi cha kuwa chama tawala?

2. Kiu ya wananchi
wananchi wanataka mabadiliko, wananchi wameichoka CCM, je CHADEMA ni chama mbadala, na wanaweza kujibu kiu ya wananchi? au yasije yakatokea kama ya misri maana wanasiasa wanapenda kuahidi na kuona matatizo yaliyo na kutoa majibu kwa njia nyepesi. sasa wananchi wanapoona ilikua uongo wanageuka mbogo.

Je CHADEMA iko tayari au wanaongea tu.

3. Uongozi thabiti
Je CHADEMA kimeandaa viongozi thabiti? ambao wataweza kusimamia chi hii?

4. Kukabiri changamoto za wapinzani
Je CHADEMA kimejiandaa kukabili changamoto za wapinzani? ikitokea CCM ndio chama kikuu cha upinzani, je kimejiandaaje kukabili. Ikitokea wafuasi wa CCM wanaandama kudai haki zao CHADEMA wako tayari kukabiliana na hayo?
Ikitokea viongozi wa CHADEMA wanaambiwa (Dhaifu, akilindogo, tusi la Sugu nk) je watavumilia?

5. Kuimalisha uongozi kuanzia ngazi za chini
Kuanzia nyumba kumi kumi hadi taifa je imejiandaa je?

Naomba wana JF tujibu hoja zangu na sio matusi, tueleze ni mwaka gani kinaweza kuwa chama tawala

Ahsante
 
Usijali tumejiandaa na tunaendelea kujiimarisha.Kwa leo tu tumetangaza uamuzi mgumu na makini.

Kilio chetu vijana sasa kimesikika.CCM wanatumia Green Guard kushambulia wafuasi wetu huku polisi na usalama wa Taifa wakiangalia,Sasa ni Rasmi kuwa kamati kuu ya CHADEMA imebariki mafunzo makali kwa Red Brigade ya Chadema kwa ajili ya kujilinda.Ni lazima tujilinde ili kukomesha ushetani huu.Hakuna kulalamika tena.Ni vitendo tu.Naunga mkono 100%.

Tutaheshimiana tu
 
Okay swali ni zuri sana!
Jibu lake ni mbaka kitakapoacha kuwagawa watanzania!
 
Usijali tumejiandaa na tunaendelea kujiimarisha.Kwa leo tu tumetangaza uamuzi mgumu na makini.

Kilio chetu vijana sasa kimesikika.CCM wanatumia Green Guard kushambulia wafuasi wetu huku polisi na usalama wa Taifa wakiangalia,Sasa ni Rasmi kuwa kamati kuu ya CHADEMA imebariki mafunzo makali kwa Red Brigade ya Chadema kwa ajili ya kujilinda.Ni lazima tujilinde ili kukomesha ushetani huu.Hakuna kulalamika tena.Ni vitendo tu.Naunga mkono 100%.

Tutaheshimiana tu

Hapa hatutafuti kuheshimiana bwana Ben. Mimi ninachouliza ni lini nadhani hujasoma hoja zangu. Nimetaja mambo matano.
Unaponiambia Mumeunda Red Brigade hapa mnaanza kujiandaa kwaajiri ya kuvuruga Amani yetu kivita sio?

Mimi nina maanisha Je CHADEMA kitakomaa lini? Unapoambiwa acha kulia lia sio kuwa upigane.
na kwa mujibu wa katiba tayari mmevunja.
 
Hili liBenSaanane lina mavi kichwani. Cjui ni janaume la aina gan hili. Jibu hoja
 
2020 at the earliest, honestly!
Mpaka pale wananchi ambao ni potential leaders ( hasa wasomi, wanafunzi, wafanyabiashara na wafanyakazi) watakapokuwa na uhuru wa kuexpress misimamo yao ya kivyama ie wapo vyama vya upinzani bila ya kuhofia maisha yao ktk fani zao au mashuleni.
cuz kwa sasa ni ngumu sana kujionesha hadharani , "watapotezwa".
Kwa kutambulika mapema, itakua rahisi kwao kuwa pinpointed na scouted to take over madaraka nk
 
Mnaota ndoto makaburini kweli,ni bora SAU itawale kuliko chadema.Chadema mtasubiri sana
 
Mimi nahc chama chochote kinaweza kuwa chama tawala wakati wowote kuanzia 2015 kwa hoja kuwa
1.wananchi walio wengi bdo hawajajua maana halisi ya demokrasia
2. Siasa ya nchi hii bdo haina mashiko kukidhi matakwa ya wananchi ni siasa changa na chafu kwa wote
3. wananchi hufuata upepo na kudanganyika, hvyo hufuata sera na c imani na uadilifu wa vyama

Kwa hoja hzo naweza kusema 2015 wanaweza kuwa chama tawala lkn kwa hoja ulizotoa naimani wanayoona ni mapungufu kwa CCM leo hakuna litakaloboreshwa, ikumbukwe SIASA SIO SHERIA!!
Ili siasa iwe safi tunahitaji SENETI ili kuenforce promisez zinazotolewa la cvyo kutakuwa hakuna jipya!!!
Ni hoja yng toa yako pia!!
 
Kwa namna moja ama nyingine cdm wanazidi kujiaminisha sana juu ya haya mambo.

Mosi: kuzungumzia demokrasia inahitaji staha kubwa sana ya kujithamini na kuheshimu taratibu zilizowekwa na chama ikiwemo uhuru wa maoni ndani ya chama, chaguzi zinazoeleweka na katka kipindi maalum. Ikiwamo ushirikishwaji wa wanachama katk kutekeleza baadhi ya mambo.

Pili: linapokuja swala la uongozi thabiti napata shida kidogo kuamini kama cdm wapo tayari kuchukua nchi 2015!! Sijaona uongozi thabiti wenye kutoa hoja,maagizo na msimamo juu ya mambo kadha wa kadha. Mfano, hivi karibuni nimeweza kushudia tofauti kubwa sana ya jinsi ya kuzungumza na umma kati ya viongozi wa vyama tofauti hususani humu jamvini. Nilibahatika kusoma baadhi ya kauli za DR. Slaa na kulinganishan na zile za MH. Tibaijuka! Nikaona utafauti wa jinsi ya kujibu hoja. Najua wengi watauliza kwanini slaa.. Well slaa ndio nadhani kwa sasa ni chaguo la wanachadema wengi kwenye uchaguzi ujao lakini ukilinganisha majibu na jinsi anavyokaribia na kujibu hoja mbali mbali kama kiongozi mkubwa, anakosa ile staha kama ya Mh. Tibaijuka.
Jengine katk uongozi.. Sina uhakika kama kweli cdm wanaviongozi weledi haswa katika siasa na taaluma ya kutosha kuweka cabinet iliyothabiti kukithi matwakwa ya wananchi kama wanavyohibiri. Sisemi kwamba ccm wana viongozi wema ama werevu sana, la hasha tunathaminisha mbadala hapa.

Tatu: uvumilivu wa kisiasa?? hahaha kwa kweli hapa ninatoa big NO!!! Kama inakuwa vigumu sana kusolve dispute ndani ya chama, muafaka unafikiwa bila mchamganuo maalumu.. Wanachama kutothaminiwa na kutumiwa tu.. Wakihoji na kuhitaji maelezo zaidi wanaitwa wasaliti na kutimuliwa , kujengewa hoja hafifu za kuwachafua, naamini kama wangekuwa na uwezo watu kama shonza, mtela, hammy D, chriss, na wengine wanao wapinga cdm humu jamvini wangekuwa ktk hali ngumu sana

Mwisho: uongozi kuanzia ngazi ya chini .. Nadhani jibu lipo wazi kwa sasa cdm wanfanikiwa kwa kiasi kuchukua baadhi na kuongeza balozi wa nyumba kumi na wenyekiti wa mitaa, ila hii haifanyi cdm kuwa tayari.. Bado wanasafari ndefu sana. Uongozi kwa ngazi za chini ni ukweli ulio wazi kwamba ccm bado wanatamba na ndo maana kwa mfano mdogo tu haya mabaraza ya katiba yaliyoundwa .. Cdm wanapiga kelele na kulalamika yameingiliwa na vyama vya siasa huku wakisahau mabaraza hayo yanaundwa na watu gani katka ngazi gani na wengi wao ni wakina nani.

Ninaamini ktk mbadala bora wa ccm, ama iwe ccm mpya yenye vijana wenye werevu wa kutosha kimisingi thabiti ya kuleta maendeleo ama cdm bora yenye uwezo wa kujenga hoja zilizo na mashiko na kushirikiana na serikali husika kuisukuma nchi katka maendeleo.
Tanzania ni yetu sote..
 
Usijali tumejiandaa na tunaendelea kujiimarisha.Kwa leo tu tumetangaza uamuzi mgumu na makini.

Kilio chetu vijana sasa kimesikika.CCM wanatumia Green Guard kushambulia wafuasi wetu huku polisi na usalama wa Taifa wakiangalia,Sasa ni Rasmi kuwa kamati kuu ya CHADEMA imebariki mafunzo makali kwa Red Brigade ya Chadema kwa ajili ya kujilinda.Ni lazima tujilinde ili kukomesha ushetani huu.Hakuna kulalamika tena.Ni vitendo tu.Naunga mkono 100%.

Tutaheshimiana tu

Kumbe ndio maana mlikataa mzungumzo kujadili amani?

Kumbe mmeshaunda kajeshi kenu kakulinda amani
 
Usijali tumejiandaa na tunaendelea kujiimarisha.Kwa leo tu tumetangaza uamuzi mgumu na makini.

Kilio chetu vijana sasa kimesikika.CCM wanatumia Green Guard kushambulia wafuasi wetu huku polisi na usalama wa Taifa wakiangalia,Sasa ni Rasmi kuwa kamati kuu ya CHADEMA imebariki mafunzo makali kwa Red Brigade ya Chadema kwa ajili ya kujilinda.Ni lazima tujilinde ili kukomesha ushetani huu.Hakuna kulalamika tena.Ni vitendo tu.Naunga mkono 100%.

Tutaheshimiana tu

Sio tu kujiandaa kwa Red Brigade, Wananchi tulikuwa tunaendelea kutumia busara na ushauri wa viongozi wetu kuwa tusilipize pale tunapopigwa. Lau tukiamua wananchi hata hao polisi ni wachache sana na hawawezi kufanya lolote. Angalia vijana waliofungiwa ofisi za CCM huko kanda ya ziwa wakiwa zaidi 100 unadhani walishindwa kuvunja milango ya hiyo ofisi na kupambana?

Pia kuwa na uongozi imara sio tu kuwa na viongozi mpaka ngazi ya vijiji wa CDM pekee, hata viongozi kutoka vyama vingine wataendelea kuongoza kwani CDM hailazimishi madaraka bali ni Uchaguzi wa wananchi wenyewe kuongozwa na kiongozi wa chama wanachokitaka wao.
 
Hapa hatutafuti kuheshimiana bwana Ben. Mimi ninachouliza ni lini nadhani hujasoma hoja zangu. Nimetaja mambo matano.
Unaponiambia Mumeunda Red Brigade hapa mnaanza kujiandaa kwaajiri ya kuvuruga Amani yetu kivita sio?

Mimi nina maanisha Je CHADEMA kitakomaa lini? Unapoambiwa acha kulia lia sio kuwa upigane.
na kwa mujibu wa katiba tayari mmevunja.

Poleni sana, Pamoja na kuwa na majeshi 4 ( Polis, JW, TISS na Green Guard) kusikia vijana tu Red Brigade unaanza kuhaha na kusema kuchafua amani ya nchi. Hao Green Guard ni kwa ajili ya kujenga na kulinda amani ya nani?
 
Kuna watu naweza kusema akili zao zinahtaji ziwe formated coz hata vita ya idd amini hawajui ilikuje, wanajua historia 2!!!
Mcdanganyike na filamu mnazoangalia, vita wala swala la kujiandaa kupigana co jema hata kidogo, ucone cfa kuongea upumbavu kucfia ujinga eti mnajeshi... acha ujinga ww unaedhani kupigana ndo kupata haki!! Mind u... once Plato said, 'Taking army to destroy the peoples resources, is a point of no return' remember abt Congo..., remember abt USA..., nw see iraq, libya, egypt, lebanon....,
ombeeni amani na maendeleo ya elimu kwa wote 2ondoe ujinga!!
Tuungane kupinga fikra mbovu na 2elimishane kuondoa ujinga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom