Kwa hiyo ulitaka wawepo dodoma kwa ajili ya matumbu yako?
ile posho na mshara kwa mbunge ni malipo hivyo kutoa sehem ya pato lake si lazima ni mtu yoyote na ujira wake ulalamikaji mwingine ni dalili za ujinga na wivu!

Sioni umuhimu wa kupiga kura.
Chadema ni mfereji wa maji taka
ile posho na mshara kwa mbunge ni malipo hivyo kutoa sehem ya pato lake si lazima ni mtu yoyote na ujira wake ulalamikaji mwingine ni dalili za ujinga na wivu!
Huu ni ukweli mchungu kwenye masikio ya wapinzani na ni furaha kuu kwa watanzania wengi wanaoipenda ccm na kuona inaongoza nchi hii karne na karne. Kia uchao wapinzani wanaporomoka, wanapoteza ushawishi, wanakatailwa na wenye nchi. Hii ccm sio ya kupuuzwa, ni taasisi yenye misingi imara na madhubuti mno kiuongozi na kimamlaka. Wapinzani ni dhaifu mno. Tanzania bila ccm haiwezekani.
Kila kona ya nchi watu ccm, ccm, ccm, ccm...hadi raha.