CHADEMA bado mno Kupambana na CCM

Huu ni ukweli mchungu kwenye masikio ya wapinzani na ni furaha kuu kwa watanzania wengi wanaoipenda ccm na kuona inaongoza nchi hii karne na karne. Kia uchao wapinzani wanaporomoka, wanapoteza ushawishi, wanakatailwa na wenye nchi. Hii ccm sio ya kupuuzwa, ni taasisi yenye misingi imara na madhubuti mno kiuongozi na kimamlaka. Wapinzani ni dhaifu mno. Tanzania bila ccm haiwezekani.

Kila kona ya nchi watu ccm, ccm, ccm, ccm...hadi raha.

Chema chajiuza kabaya chajitembeza. Umasikini wa Watanzania umetokana na Uongozi mmbovu wa CCM
 
CCM inawafanya vibaya wapinzani wake, mathalani Ukawa Wamepwaya sana katika siasa za Tanzania.
 
Ase mkuu wiliam umetsha kbsa kweli yahitajka nguvu ya ziada kuindoa ccm madarakan wali n link moja nzuri sana kama wa amua kuleta mabadliko kwenye hii nchi kwakuwaeleza wanfunz namna serkali inavo nyanyasa raia wake
 
Back
Top Bottom