Chadema Baada ya Uchaguzi 2015--Great Thinkers Only!

Wewe hayo ya kwako mimi ninachojua kimoja tu CDM haishindi 2015 itakuwa nafasi ya pili kama sio ya tatu.
We siumesema haitashinda bse by tht time itakuwa imekufa?? So how comes unasema itashika tena no. 2 au 3?? This is a paradox!!
 
Kuna watu humu ni mabingwa wa kuwashushia wenzao waanzisha mada maneno ya kejeli na kuwadadavua kama hawana akili nzuri. Sijui ni kwa nini rosemarie aliamu kutumia neno "Great thinkers Only" wakati jambo lenyewe ni jepesi sana kueleweka. Kama mikutano inajaa watu hoja ya watu kujaa kwenye mikutano inakufa yenyewe kifo cha kawaida. Kwa maana nyingine kujivunia kujaa kwa watu kwenye mikutano ya CHADEMA siyo jambo la kujivunia au kujisifia tena.

Hoja ya Rosemarie ni nini unalishwa umati huo wa watu. tuchukulie kwa mfano hoja inayosimamiwa sana na CHADEMA hoja serikali ya majimbo. Leo tunaweza kuambiana ni mkutano upi wa CHADEMA ambao viongozi wake waliidadavua hii hoja kindakindaki.

Tunajua CHADEMA ikichukua nchi itaunda majimbo mangapi? Hayo majimbo yataongozwaje. Mikoa na wilaya zitakazofutwa nafasi yake itachuliwa na nini, mfumo wa kukusanya kodi kwenye majimbo na jinsi kodi hiyo itakavyoinufaisha serikali kuu kuna anayejua?

Nani anayejua kwa hakika kama kutakuwa na mabunge ya majimbo au la? Nafasi ya viongozi wa majimbo kwenye serikali kuu ni ipi na serikali kuu inaweza kuingilia mambo gani na mambo gani haiwezi. mfumo unaopendekezwa unafanana na mfumo wa wapi, Nigeria, India, Canada, Amerika au kama ule unaotumika kwenye Urusi ya sasa?
 
Kuna maswali kadhaa uliyoyaepuka, sijaajua ni kwa nini...anyway

1. With evidence, prove me wrong if i say hawana Jazba.

2.Kuhusu M4C kuishiwa hela, silijui and as far as ma concern si mwanachama wala msemaji wa CHADEMA, Labda wale wanachama wanaweza kuzungumzia hilo katika pita pita zao hapa jamvini.

3. Sijui ni nani "mmiliki wa hiyo kampuni", ila ninachoshindwa kuelewa, ila katika maamuzi kuna either mmoja au wachache wanaweza ku-overrule kutokana TU na nyadhifa zao, hii ni katika Vyama vya siasa, Kijamii, Kidini .nk...na si REGULAR!! Just depending on circumstances.

4. With your point, unataka kusema kuwa
hawatajiandikisha kupiga kura?
-Wale waliojiandikisha ndio watakuwa wapiga kura pekee
wa kitanzania DAIMA?

-Hapa nadhani tunaenda vizuri japo nimetoa pointi 11. ila umekomaa na hizi nne nadhani zile 7 umezikubali.
Kuhusu Jazba hiyo iko wazi wanavyofula mfano watu wawili wanajazba kweli. Tundu Lisu na Myika. Hii huenda hawajakomaa kisiasa.

-Lile la kuishiwa pesa tumelimaliza sawa?

-Jinsi ya uendeshaji wake inaprove kuwa ni kampuni (Chadema imesajiliwa kama chama lakini utendaji wake kama kampuni). Msajiri wa Chama hana mamlaka ya kuingilia utendaji kazi wa chama. Mtu mmoja anakuwa ndiye mwenye chama tofauti kabisa na maana ya chama.

-Kujiandikisha au kutokujiandikisha ni kubashiri. Mimi hapa nasema reality. Sawa kaka?

Tukopamoja
Binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja.
 
Hata wakati Mwingine nafikiria,
Watanzania wako stress na. Sura zile zile za CCM ambazo sio za Kitendaji zaidi ya kuwa na Personal IntereSt na Kichama,

What We Do ?

Hata Hatujui CDM inasimamisha akina nani ? Lakini Baadhi wako Tayari ku-tick sehemu yoyote yenywe Gwanda Kuliko CCM... Kwa SAbabu Sera za CCM hazijakaa Kutekelezeka zaidi ya sehemu ambazo wana IntereSt nazo...na ChaDema wanaeleweka Zaidi Game yao ya "Total Football" kwa Wananchi

Cha Zaidi,CDM sasa ni wakati wa Kuwa na Makini na Wagombea wake ambao watawapa nafasi sio wale wa "Kuokota okota" au wale "Gamba Rejected" kwa Sababu hata hao mnaowaandaa na mnaowasukuma kusoma sio watu wa kutumikia Jamii...ni watu wa ndoto za v8,Mikopo ya Kibunge na diplomats Pass wafanye Mambo yao.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nadhani pamoja na kuendelea kuelezea sera za vyama kuna haja kubwa ya kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu ya kupiga kura. Katika chaguzi zote zilizopita watu waliopiga kura ni wachache sana ikilinganishwa na idadi ya watu wanaohudhuria mikutano na kunyanyua vidole juu. So elimu ya haki ya kupiga na kupigiwa kura ni muhimu sana. Lakini pia ziadi ya hapo kujitokeza kupigiwa kura siyo kuendelea kuwaachia watu ambao siasa ni last resort yao maana hawana kazi nyingine watakayoweza.
 
CDM haiwezi kushinda
Muheshimiwa kuropoka tu kwamba huyu atashinda au huyu hashindi siyo rahisi hivyo. tupe pionts za maana kwanini huyu na si yule nadhani hilo hasa ndilo linatufanya tuwe hapa, bila ya hivyo nitakuamini kwamba wewe ni mshirikina na ni muumini wa ramli.
 
Naomba izipitie comment zangu nimeshatoa sababu 11
 
Naomba izipitie comment zangu nimeshatoa sababu 11
Hatubishanii nani atashinda au nani hashindi. Hapa ni "kama" CHADEMA itashinda mwaka 2015 ila wewe kwa kuwa una mlengo wako mwingine kabisa unaamini ni CCM pekee ndiyo wenye haki ya kutabiriwa kushinda mwaka 2015. Kama CHADEMA ikishinda?

hapa wote tuna labdisha nini kitatokea mwaka 2015 hakuna mwenye hakika ni nini kitatokea kati ya leo na mwaka 2015.
 
Mimi ninatoa na sababu kwanini Chadema haishindi. Hatufanyi vitu hapa kwa miujiza tunafanya kwa fact.
Ile ndoto ya kushinda haipo kabisa CDM wakae wakijua maana bado hawajajipanga watatuingiza shimoni
 
Annael kwa nini unadhani CHADEMA hawajajipanga? Kwa mfano unao ushahidi wa kisayansi (utafiti) wa kuthibitisha kama kweli CHADEMA haijajipanga?
 
Last edited by a moderator:
Ndio ninao.
Tuambie kama unao na kama ni utafiti ni wa aina gani na hili inaegemea kwenye ile falsafa isemayo "kama huna utafiti huna haki ya kusema" au "No research no right to speak" NAKUSUBIRI!!
 
Hatubishanii nani atashinda au nani hashindi. Hapa ni "kama" CHADEMA itashinda mwaka 2015 ila wewe kwa kuwa una mlengo wako mwingine kabisa unaamini ni CCM pekee ndiyo wenye haki ya kutabiriwa kushinda mwaka 2015. Kama CHADEMA ikishinda?

hapa wote tuna labdisha nini kitatokea mwaka 2015 hakuna mwenye hakika ni nini kitatokea kati ya leo na mwaka 2015.

Nimeipenda hiyo paragraph ya kwanza..well said mkuu.
 
Tuambie kama unao na kama ni utafiti ni wa aina gani na hili inaegemea kwenye ile falsafa isemayo "kama huna utafiti huna haki ya kusema" au "No research no right to speak" NAKUSUBIRI!!
Naomab nikupe machache tu mengine nitakueleza siku nyingine
1. Ungonvi nda ni ya chama: Kumekuwa na ugonvi ndani ya chama cha chadema ambao unatuonesha wazi kuwa wao kwa wao wana uchu wa madaraka- Mfano kugombea umeya Mwanza. Hii ni picha tosha kabisa inayo nifanya ni prove kwamba chadema itagawanyika na kuwa na makundi ambayo wao kwa wao watajimaliza.

2. Kuongea kitu kile kile: Chadema wamekuwa wakiongea kitu kile kile ambacho kitakuja kuwagharimu maana watu watawachoka. Chadema wamekuwa ni watu wenye jazba, fujo, matusi na kutotii sheria. Mfano:- Mbowe akiwa kwenye mkutano Iringa mada ukawaumeisha akaambiwa aahirishe mkutano akaanza kutoa matusi na kusema hafungi mkutano na hakuna wakumfanya chochote.

3. Kuchukua wanachama waliotemwa: Imekuwa ni kasumba ya chadema kuchukua oili chafu mfano Shibuda, Marando nk. Wanaoingia ndani ya chama hicho baadae wanatengwa na kuonekana kama wako nchi ya ugeni. Kitu hiki ni hatari sana maan hao wanaweza wakawa vibaraka wa vyama walivyotoka maana vimewafundisha na kuwa lea.

Kaka ninayo mengi sana nitatoa maana sina mda wa kuandika kwa sasa!
 
Naomba izipitie comment zangu nimeshatoa sababu 11
kwa kweli nimezipitia na sijaona point ya maana sana na hautakuwa na maelezo ya kutosha kututhibitishia. Yote uliyosema ni rahisi kuyabadilisha kwa usiku mmoja tu.
 
kwa kweli nimezipitia na sijaona point ya maana sana na hautakuwa na maelezo ya kutosha kututhibitishia. Yote uliyosema ni rahisi kuyabadilisha kwa usiku mmoja tu.
Kivipi watu kupigana utabadili siku moja?
Think!
 
Back
Top Bottom