Chadema Baada ya Uchaguzi 2015--Great Thinkers Only!

Dua la shetani

Tena shetani mzee.hivi watu mmejipanga foleni kubishana na huyu mwehu mmoja asiyeweza hata kuitetea hoja yake kiutafiti zaidi ya kusema cdm itakufa!!eti kuna mahali cdm walipigana!!!au wafuasi wake hawajajiandikisha kupiga kura!!ouuf,hivi suala la kujiandikisha limekuwa static kihivyo?hivi kina bashe na kigwangalla wapo cdm? Mwisho kama unakiri cdm ni chama kichanga na kinafanya makosa madogo madogo,hujiulizi ni vipi chama kilichokomaa kama ccm kinafanya makosa makubwa namna hii? Hebu tenga muda ujiulize kati ya vyama hivi viwili ni kipi kinahitaji kujifunza kutoka kwa mwenzie,na ni yapi ya kujifunza,ukimaliza kujiuliza hayo hakika utajichukia na unazi wako wa kipuuzi,mwenyekiti wa ccm anatambua jinsi ground ya ccm ilivyo na wakati mgumu,wewe unakomaa eti cdm haina pesa,huku mnafikia hatua ya juu kabisa ya kuituliza M4C kwa kumwaga damu!!!kweli dada annael huna aibu kabisa!!usingejidhalilisha kijinga namna hiyo,hapa jamvini penyewe uko peke yako,achilia mbali mitaani,kama nape ndiye genius wa chama chenu unategemea nini? Sasa anapewa ukatibu mkuu uone fightback ya kina mkama walioanza kulalama mapema kuhusu nape kuhodhi madaraka,halafu hiyo chorus ya ukanda na udini viongozi wako siku hizi hawaitumii tena,kwani imepitwa na wakati!!acha kula kinyesi wewe.
 
Back
Top Bottom