hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,539
-Hapa nadhani tunaenda vizuri japo nimetoa pointi 11. ila umekomaa na hizi nne nadhani zile 7 umezikubali.
Kuhusu Jazba hiyo iko wazi wanavyofula mfano watu wawili wanajazba kweli. Tundu Lisu na Myika. Hii huenda hawajakomaa kisiasa.
-Lile la kuishiwa pesa tumelimaliza sawa?
-Jinsi ya uendeshaji wake inaprove kuwa ni kampuni (Chadema imesajiliwa kama chama lakini utendaji wake kama kampuni). Msajiri wa Chama hana mamlaka ya kuingilia utendaji kazi wa chama. Mtu mmoja anakuwa ndiye mwenye chama tofauti kabisa na maana ya chama.
-Kujiandikisha au kutokujiandikisha ni kubashiri. Mimi hapa nasema reality. Sawa kaka?
Tukopamoja
Binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja.
Sasa mkuu, as a great thinker, unapokashifu au kutoa lugha ya kejeli na unaweka kama sababu ya CHADEMA kushindwa na unategemea wanajamvi tuijibu, nashindwa kukuelewa.
- Sababu hizo zina fanana( na UKICHUNGUZA vizuri utagundua ilikuwa ni sentensi moja ikagawanywa(being split)
-Sijakubaliana na hizo sababu ambazo sijazitolea maelezo kwa sababu hujaweka ushahidi/vielelezo mkuu..and i will be idiot just to comment kwa kitu kilicholetwa jamvini, kwa ushabiki tu mkuu.
Then kama ni saula kujiandikisha ni kutokuwa na uhakika ..why did it appear katika list ile uliyoiweka?