CHADEMA: Baada ya Biharamulo; Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2010

Njia muhimu ni kuweka sera wazi na kujipanga upya kuanzia ngazi ya shina. Lakini biharamulo washiriki kwani ndio demokrasia
 
Mimi naamini hakuna sababu ya kuunganisha vyama. Unapofanya hivyo ccm nayo inafanya bidii kujiingiza katika huo ushirikiano ambao baadae hauwi tena ushirika mtakatifu.

Lakini vyama vikijipanga vyenyewe vyema, wananchi watachagua vyama vilivyo bora. Mfano, tizama yaliyofanyika kiteto, busanda, magogoni, tarime n.k

- Marehemu Kolimba, alipoombwa na Mzee Mtei kujiunga na Chadema, aliweka one condition kwamba zifanyike juhudi za kuviunganisha vyama vyote vya upinzani nchini, ndio atajiunga na according to viongozi wengi wa CCM wenye kuzijua hizo habari nyeti, Kolimba alikuwa amebakiza siku chache sana kabla hajaenda Jangwani na kutangaza rasmi nia yake hiyo, huku akiwa mbele ya viongozi wote wa upinzani bongo, CCM waligundua dakika za mwisho wakamuita Dodoma CC na kumpa kazi mpya muhimu sana ya kusimamia kamati ya kutoa mapendekezo ya mabadiliko ndani ya CCM, katika hili sokomoko Kolimba aliishia kutangulia mbele ya haki na kuzua utata mkubwa sana,

- Now my point is, kuungana kwa vyama vyote vya upinzani bongo under one leader inapaswa kuwa a super dream kwa wananchi tunaotaka mabadiliko, kwa sababu huwezi hukumu idea ambayo hujaijaribu, siamini kwamba inaweza kulata majibu tunayotaka mara moja, lakini ninaamini kwamba itatuletea mabadiliko mengi sana muhimu kwa taifa, kwa sababu CCM haiwezi tena ku-behave the way inavyo-behave sasa, Ninasema panga pangua, bungeni kutakua na at least wabunge CCM 60% kwa 50% upinzani kwenye uchaguzi wa kwanza, unaofuatia CCM itaondoka,

However: hii haitawezekana na hii generation yetu ya sasa, maana the whole generation ni too corrupted, kuanzia directly mpaka indirectly, inahitajika generation mpya kabisaaa!

Respect.

FMES!
 
- Hebu rudia tena una maana gani sijakuelewa bado? Kwamba kuna watu watakwenda kumpigia kura Nchimbi, sasa what this has to do na mawazo yangu na mimi FMES?

Respect.

FMEs!
Respect mkuu,
Mbona umehamaki?
Soma ile post mzee inajielezea wazi. Rudia tena na kuisoma nina hakika ina kiswahili rahisi tu. Tena ilikuwa ikijibu ile post yako mkuu.
 
Mzee Mwanakijiji
Ongezea na hizi:
1. Aidha wajifunze ustaarabu, manati hazileti ushnindi
2. Kama mgombea kiti cha urais ni Mh. Mbowe, wasahau kabisa kushika dola. Bisha nikupe sababu.

Kubalini tu mmeshindwa Busanda ndiyo maana hamkutaka kutokea wakati wa kutangaza matokeo kwa kuogopa aibu. Mlikuwa na vijana wengi wa kijiweni tu ambao mliwalipa Shs. 500/- za kazi ya kuzomea lakini mkakosa wapiga kura vijijini. Ama kweli mikakati ya uchaguzi hamna kabisa.

Tunaitaji mikakati ya maendeleo maana mikakati ya uchaguzi ni kweli mnayo sana na kama mgelitumia hiyo hiyo kwa maendeleo tungelikuwa katika ndege ya starehe Tanzania. Lakini maskini naurumia hawa wajinga unaowasema kuwa wako vijijini maana mjini wameanza kuwa wajanja pamoja na nafuu waliyonayo, maana ujinga ni mzigo. Wakija kutua mzigo huu wengine tutakuwa mbali Tanzania
 
Kumbe nakubaliana na wewe, I told you guy kwamba i really respect you man!! Your so critical thinker man. Safi sana Ulisema ukweli kuhusu hilo
 
They are wasting time, money and talent.

Dawa ni Tanzania yote kuwa nchi ya chama kimoja (ccm - chama cha mapinduzi) ili watu wakabanane huko huko.

BTW ... kanzi kamekuwaje tena na hizo mbawa zake?

Mhh, watu wa upanga kiboko. .... nimeishiwa nguvu kabisa na yaliyotokea leo.
 
They are wasting time, money and talent.

Mkjj,
Nadhani wakati ulipotoa ushauri huu wengi hawakukuelewa au waliamua kudharau na kutokuchukua hatua za makusudi za walau kufanya utafiti wa nini ulichoandika. Mimi si mpenzi wa CHADEMA lakini matokeo yanapotoka katika chaguzi hizi kuna haja ya kufanya postmoterm na kubaini makosa na mambo mengine.

Je, inawezekana kuwa kwa vyama hivi vya siasa kushiriki katika chaguzi hizi bila ya kujali kushinda ama kushindwa, kuna manufaa yeyote ambayo hupatikana kwa kikundi cha watu au mtu mmoja mmoja kwa njia yeyote ile ama iwe ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, nk?
 
Pundamilia, hakuna kitu kibaya kama kiburi cha madaraka (the arrogance of power). Jinsi ambavyo CCM haisikii masahihisho ambayo watu walio nje wanayaona (wanasema chama ni safi ila mtu mmoja mmoja siyo safi). Kiburi hiki hiki ndicho ninakiona Chadema vile vile. Lakini chao ni tofauti na cha CCM. Wao CCM ni kile kiburi kinachotokana na kutawala wakati kile cha Chadema kinatokana na kukubalika na umaarufu wake katika vita ya ufisadi. Kiburi hicho hicho kinaonekana CUF kwa namna tofauti (ngome yao ni Pemba na Zanzibar kwa jumla na hivyo hawako tayari kupanua wigo wao).

Chadema sifikirii kama inaweza kubadillika na kujiandaa kuwa chama tawala kwa kadiri ya kwamba kinaendelea kufanya yale yale kikitarajia mambo tofauti. Kuna mtu itabidi awaambie ukweli utokanao na urafiki.
 
Kushiriki katika huu uchaguzi kumekijenga sana Chadema. Wezi wa kura “wameshinda”, lakini Chadema imefahamika na kupendwa zaidi. Kushiriki kulikuwa na faida kubwa, na sio hasara.

Inachekesha mtu kuiba na kukuambia fuata sheria (za kwenda mahakamani). Yeye mbona hafuati sheria?

Hakuna kitu kinachotishia usalama wa taifa la Tanzania kwa kasi zaidi kuliko uchu wa madaraka wa CCM. Hawa wanahodhi madaraka kwa kuiba kura za wananchi. Wanahatarisha sana amani yetu.
 
Hata mimi naona Chadema imepata sympathy kubwa kuliko kama kisingeenda kule; ungekuwa ndio mwisho wake maana kingeonekana hakina mtandao wa ki-nchi- so now cha mhimu ni chadema; dk slaa; mbowe; zitto itisheni; tundu lisu; mikutano mfululizo dar- na mikoani kuelezea kilichotokea kiteto-tarime ( ingawa mlishinda)-mbeya vijijini-busanda-na biharamulo; nguzo yenu iwe ktk ufisadi muonyeshe dhamira ya dhati; usawa na kutaka kupata utawala usio na damu; wizi wa kura na ubovu wa NEC na umhimu wa mabadiliko ya dhati; uzuri wa chadema na kunawirisha kiasi sera zenu( hata ktk website); wekeni wazi ni chama cha wanachama na watanzania; jiandae kwa uchaguzi wenu kwa demokrasia safi; jiandaeni kwa uchaguzi serikali za mitaa; naamini mna nafasi nzuri- pia wekeni wazi watu wa kada tofauti wawachangie sasa maana hiyo ndio ownership ya chama na muwe wazi ktk matumizi; INAWEZEKANA-INAWEZEKANA-INAWEZEKANA TZ BILA CCM
 
Usalama wa taifa tayari uko mashakani, ustawi wa jamii umeporwa uwajibikaji umekimbia na uungwana hakuna tena.
Nini wananchi wategemee, swala la kulalamika kuhusu ufisadi na kufikiri serikali ya CCM itashughulikia wizi na udanganyifu ni kupoteza muda. Unayetaka awashughulikie mafisadi yeye mwenyewe anatumia wizi na hila kuingia madarakani sasa kiko wapi.

Swala la Chadema kutoshiriki uchaguzi hilo siliafiki, Hata Obama aliaambiwa muda bado asigombee, weusi South Afreka waliaambia hawajui kutawala, Uhuru wetu tuliambiwa hatujakomaa kujitawala na hatuna mtandao mzuri, weusi marekani walionekana hata wao hawajijui. Huwezi kujiandaa kisiasa au kujikuza kisiasa kwa kukimbia kushindwa au kushindana kisiasa haya yote yanaendana, kipimo kimoja wapo cha kujua hali yako ni pale tu unaposhindana ndipo utajua wapi unamatatizo.

Nawashauri Chadema waendelee kushiriki kwenye Chaguzi huku tukijijenga kuanzia chini kwenda juu, hapa Chama kilipo ni pazuri sana na sintochelea kumsifia na kumpongeza kila mwana Chadema alikiwezesha chama kufika hapa kilipo hii ni hatua kubwa tena ya kujivunia, kwani ni lini tulitegemea CCM wangeamua kulala macha kwa ajili ya kuogopa upinzani leo wanaiba mchana kesho wataona haya.

Mwanakijiji mawazo yako yanaweza kuwa mazuri ila hatari sana hasa kwenye ushindani wa siasa. Mwaka 1992 hakuna chama cha upinzani kilichokuwa na mwanachama hata mmoja wangesema wasubiri kwa woga mpaka leo tusingekuwa hata na diwani, si haba tumepata chama walau kutoa duku duku zetu, ni wajibu wetu kuungana na wanaharakati wenzetu na kuongeza nguvu, je kama wanajambo wote wenye mapenzi mema wangekuwa Chadema leo wizi ungepungua kwa asilimia nyingi sana.Tujipange tukiwa mstari wa mbele sio kuweka silaha chini, tutapoteza hata tulichokomboa.
Hongera Chadema, Hongereni wote mnaopigania demokrasia hii vita ni ngumu na ya muda mrefu ila tutashinda, tunaweza, tuna nguvu na tunajivunia nchi yetu. Ndio tutashinda tena kwa kishindo.
 
Chadema imefanya kitu sahihi kabisa kushiriki uchaguzi Biharamulo. Inaonekana watu wengi zaidi wanakiunga mkono. Pia chama sasa kinajulikana zaidi huko Bimulo. Haya ni mafanikio ya kujivunia. Kinachotakiwa sasa ni kuyalinda na kuongeza wanachama na mashabiki wengi zaidi (sustain and increase supporters' base).

Kwa matokeo hayo, natarajia kwamba kwenye uchaguzi mdogo mwaka huu (serikali za mitaa), Chadema watapata madiwani wengi. Na hayo si mafanikio kidogo.

Mahesabu yako Mwanakijiji yamekaa kushoto kushoto. Sishangai sana kwa watu wenye mitazamo ya kuunga mkono mitazamo ya Nyerere: distorted viewpoints.

Hili lichama la mafisadi(CCM), la akina Masatu, Game Theory, Mtanzania na Kibunango lazima udikteta wake ufike mwisho.
 
Pundamilia, hakuna kitu kibaya kama kiburi cha madaraka (the arrogance of power). Jinsi ambavyo CCM haisikii masahihisho ambayo watu walio nje wanayaona (wanasema chama ni safi ila mtu mmoja mmoja siyo safi). Kiburi hiki hiki ndicho ninakiona Chadema vile vile. Lakini chao ni tofauti na cha CCM. Wao CCM ni kile kiburi kinachotokana na kutawala wakati kile cha Chadema kinatokana na kukubalika na umaarufu wake katika vita ya ufisadi. Kiburi hicho hicho kinaonekana CUF kwa namna tofauti (ngome yao ni Pemba na Zanzibar kwa jumla na hivyo hawako tayari kupanua wigo wao).

Chadema sifikirii kama inaweza kubadillika na kujiandaa kuwa chama tawala kwa kadiri ya kwamba kinaendelea kufanya yale yale kikitarajia mambo tofauti. Kuna mtu itabidi awaambie ukweli utokanao na urafiki.
Mwanakijiji..
Naunga mkono hoja..
 
Hata mimi naona Chadema imepata sympathy kubwa kuliko kama kisingeenda kule; ungekuwa ndio mwisho wake maana kingeonekana hakina mtandao wa ki-nchi- so now cha mhimu ni chadema; dk slaa; mbowe; zitto itisheni; tundu lisu; mikutano mfululizo dar- na mikoani kuelezea kilichotokea kiteto-tarime ( ingawa mlishinda)-mbeya vijijini-busanda-na biharamulo; nguzo yenu iwe ktk ufisadi muonyeshe dhamira ya dhati; usawa na kutaka kupata utawala usio na damu; wizi wa kura na ubovu wa NEC na umhimu wa mabadiliko ya dhati; uzuri wa chadema na kunawirisha kiasi sera zenu( hata ktk website); wekeni wazi ni chama cha wanachama na watanzania; jiandae kwa uchaguzi wenu kwa demokrasia safi; jiandaeni kwa uchaguzi serikali za mitaa; naamini mna nafasi nzuri- pia wekeni wazi watu wa kada tofauti wawachangie sasa maana hiyo ndio ownership ya chama na muwe wazi ktk matumizi; INAWEZEKANA-INAWEZEKANA-INAWEZEKANA TZ BILA CCM

kweli kabisa
 
Pundamilia, hakuna kitu kibaya kama kiburi cha madaraka (the arrogance of power). Jinsi ambavyo CCM haisikii masahihisho ambayo watu walio nje wanayaona (wanasema chama ni safi ila mtu mmoja mmoja siyo safi). Kiburi hiki hiki ndicho ninakiona Chadema vile vile. Lakini chao ni tofauti na cha CCM. Wao CCM ni kile kiburi kinachotokana na kutawala wakati kile cha Chadema kinatokana na kukubalika na umaarufu wake katika vita ya ufisadi. Kiburi hicho hicho kinaonekana CUF kwa namna tofauti (ngome yao ni Pemba na Zanzibar kwa jumla na hivyo hawako tayari kupanua wigo wao).

Chadema sifikirii kama inaweza kubadillika na kujiandaa kuwa chama tawala kwa kadiri ya kwamba kinaendelea kufanya yale yale kikitarajia mambo tofauti. Kuna mtu itabidi awaambie ukweli utokanao na urafiki.

MM; Naheshimu always mawazo yako; na huenda una point; ila wakati mwingine kama hujafafanua huenda usieleweke kufikisha ujumbe lengwa;

Chama chochote kina malengo ya kuitawala; chadema kimeanza kwa style ile mpaka hapa kilipo;
Biharamulo kilikuwa kabla hakiwezi hata kusimamisha mgombea- leo wamesimamisha ; wameshinda na wameibiwa; sehemu nyingi sasa wana mvuto wakienda; wanaanza sasa kujijenga kuanzia chini kwenda juu; nilimuona mbowe wananchi wanamwambia njoo utuwekee tawi hapa; pale bukoba; naona ataanza kazi hiyo; nampongeza maana ni aina ya wenyeviti ambao wamekuwa na ushirikiano wa dhati kutoka ndani ya chama; amewapa uhuru wa kuongea wenzake hivyo kuongeza wigo wa kusikika ( sio kama vyama vingine msemaji ni mweneyekiti tu).
Sina budi kupongeza energy ya chadema na kuombea mapambano ya amani ya kifikra maana ndio yanaanza ( kama unavyopenda kusema always); hakuna kukata tamaa ktk hili; safari ni ndefu; ina milima na mabonde; na wizi wa CCM ni moja ya mabonde ambayo sasa yanatakiwa yawe addressed kwa ufasaha na ijulikane kwa ufasaha; Operesheni Sangara ianze mara moja baada ya uchaguzi wao wa ndani ambao sijui utakuwa lini
 
Back
Top Bottom