AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Ndo mana kuna vijana mashoga ktk ile radio station
Bila shaka hao watakuwa ni wale makajanja wapaka lips shine na poda wa Clouz FM.
Ndo mana kuna vijana mashoga ktk ile radio station
Binafsi nimeshangaa pia! Kwa mshahara huu utaweza kuajiri na kuretain mtangazaji au DJ mahiri? Au ndo rate yao hapa mjini?
Je radio yako ukitaka isikike nchi nzima?????
Kwa taarifa yako pale Clouds pamoja na mbwembwe zote kuna watu hawana mshahara kabisa.......ni sehemu ya mauzo kwa ajili ya kupatika dili zingine kama Mabwana, Majimama, na u-DC(mf.Kibonde)
CHADEMA haina haja ya kuanzisha kituo cha redio maana redio zote za bwana asifiwe zinazisapoti CHADEMA, kuanzia redio tumaini, upendo, maria, wapo nk
......akili iliyooza/kufa ni mbolea ya umaskini.......................CHADEMA haina haja ya kuanzisha kituo cha redio maana redio zote za bwana asifiwe zinazisapoti CHADEMA, kuanzia redio tumaini, upendo, maria, wapo nk
Wakifungua redio hawa watasababisha mambo ya rwanda maana kama sasahivi tu wameanza ugaidi je wakipata redio
Kupiga domo ni kazi rahisi sana kuliko kutenda, Chadema inaishia kilometer 150? tupe hesabu ya coverage ya nchi nzima.
Ganja banah....hivi mkuu unatumiaga nini kufikiri
Una hangover bado au moshi wa marijuana umekujaa kichwani???
Wakifungua redio hawa watasababisha mambo ya rwanda maana kama sasahivi tu wameanza ugaidi je wakipata redio
Ni very easy; ni suala la kuanzisha kituo kila baada ya km 150 (KAS/MASH/KUS/MAGH). Tanzania ina kama km za mraba 945,000. Kwa maana hiyo vitatakiwa kuanzishwa vituo 945,000/150 = 6,300!
Hapo ukizidisha na hiyo gharama (ya chini) anayo-propose mleta mada, jumla unapata kama 504,000,000,000 (bilioni 504) tu. Nadhani iko ndani ya uwezo.
Kwa hapa Bongo!, piga ua garagaza ni vigumu sana kwa TCRA kutoa leseni kwa radio ya CHAMA (siasa). Panahitaji kazi ya ziada na tuseme ni kama haiwezekani. Je, tunaweza hata kuangalia nchi zingine, ni chama kipi kinamiliki vyombo vya habari kama radio direct?
Kwa siku hizi hata TCRA wakigundua tu unaanzisha radio yenye interest na siasa, au wewe ni mwana siasa, kazi sana kupata leseni.
Nadhan hakuna redio ya FM hapa nchini inayocover eneo lote la nchi hii kilomita za mraba 945 isipokuwa redio yenye coverage kubwa kuliko zote (RFA) imesimika mitambo yake kila makao makuu ya mikoa yote ta Tanzania bara (mikoa 25) hivyo unaweza kuzdisha mara 25 unapata jawabu lililokaribu na ukweli na izingatwe kuwa gharama za studio haziwezi kuwa kila mkoa maana unaweza kuwa na studio moja tu au mbili na mobile kwa ajili ya matukio ya live. Pia mleta maada amesahau kuwa pia kama unataka kuwa na redio inayorusha matangazo muda wote ni lazma uwe na power backup hasa kwa ajli ya stesheni mama na studio yake. hivyo generator ya 10kVA kwa master redio na 20kVA kwa studio maana studio itakuwa na viyoyozi na mitambo mingine isiyotaka hata skunde moja isiyo na umeme hivyo umuhimu wa UPS pia ni mkubwa sana! Lakini all in all UMUHIMU WA CHADEMA KUWA NA REDIO NI MKUBWA MNO KULIKO KITU CHOCHOTE. Nadhani viongozi wamelemaa na redio za makada wa CCM ambao utakapofika wakati wa kampeni wakaamliwa na chama(CCM) kuwa wasitangaze habari zozte za CHADEMA ndipo viongozi wangu watakapogundua umuhimu wa kuwa na kituo cha redio na tayari watakuwa wamechelewa! Nawashauri wafikirie nje ya box maana kuna watu walishawahi kuahidi kutoa seti ya kituo kimoja cha kuanzia (Friends of CHADEMA USA) lakini ahadi haikufuatiliwa. Tusubiri mzee wa richmonduli anayejua kutumia media apewe rungu muone wenye vituo watakavyopewa amri za vitisho vya kufungiwa ilimradi tu wamtangaze yeye na marufuku kwa wengine na hasa CHADEMA. Tuwe na uwezo wa kuiona kesho mapema kabla matendo ya kesho hayajatuathiri. Mtoa hoja ana hoja na tusiihujumu kwa ushabiki bali tuongezee kwenye mapungufu ili tuiboreshe na hatimaye viongozi wetu wakaona umuhimu unaoonekana kwa kila anayejua mwenendo wa siasa za nchi yetuKupiga domo ni kazi rahisi sana kuliko kutenda, Chadema inaishia kilometer 150? tupe hesabu ya coverage ya nchi nzima.
dudusNi very easy; ni suala la kuanzisha kituo kila baada ya km 150 (KAS/MASH/KUS/MAGH). Tanzania ina kama km za mraba 945,000. Kwa maana hiyo vitatakiwa kuanzishwa vituo 945,000/150 = 6,300!
Hapo ukizidisha na hiyo gharama (ya chini) anayo-propose mleta mada, jumla unapata kama 504,000,000,000 (bilioni 504) tu. Nadhani iko ndani ya uwezo.
Hata CCM haina redio isipokuwa makada wa ccm ndio wamiliki kisheria wa redio uhuru kwa ufadhiri wa CCM lakini kila mwenye akili timamu anajua uhuru redio ni ya ccm. Hivyo kisheria vyama vya siasa haviruhuswi kumiliki redio lakini vinweza kumiliki kupitia makada wake. Jamani hata RPF waliingia Rwanda kwa propaganda za redio yao hata waasi wa seleka wamepindua CAR wakiwa na redio hata kama usjiri unakuwa wa watu binafsiKwa hapa Bongo!, piga ua garagaza ni vigumu sana kwa TCRA kutoa leseni kwa radio ya CHAMA (siasa). Panahitaji kazi ya ziada na tuseme ni kama haiwezekani. Je, tunaweza hata kuangalia nchi zingine, ni chama kipi kinamiliki vyombo vya habari kama radio direct?
Kwa siku hizi hata TCRA wakigundua tu unaanzisha radio yenye interest na siasa, au wewe ni mwana siasa, kazi sana kupata leseni.
Mshahara 250, 000/=??????