CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

Ni very easy; ni suala la kuanzisha kituo kila baada ya km 150 (KAS/MASH/KUS/MAGH). Tanzania ina kama km za mraba 945,000. Kwa maana hiyo vitatakiwa kuanzishwa vituo 945,000/150 = 6,300!

Hapo ukizidisha na hiyo gharama (ya chini) anayo-propose mleta mada, jumla unapata kama 504,000,000,000 (bilioni 504) tu. Nadhani iko ndani ya uwezo.

kaka ulipata f Ya hesabu yani ata hiyo ya mzingo na maeneo fanya hivi mnara moja

km 150 kutoka kwenye nnara ni sawa na na kilometa za eneneo za duara lenye radiusi au nusukipenyo cha km 150

yani nnara mmoja utafikisha matangazo kwenye
22/7 *150*150= 70714.2km za eneo

945,000/70714.2 = 13.4 ~15

15*80=1.2 bilioni yani kama asilimia ka 65 ya garama za kampeni ya dr slaa mwaka 2010
tupeni na garama ya kuanzisha gazeti tukokotoe
 
Kuwa na radio sawa lakini unatanganza nini nimuhimu. Isiwe ni porojo zile zile wanazotoa majukwaani
 
CHADEMA haina haja ya kuanzisha kituo cha redio maana redio zote za bwana asifiwe zinazisapoti CHADEMA, kuanzia redio tumaini, upendo, maria, wapo nk

nimekugundua wewe niwale wala nguruwe kwa kujificha! Kale kitimoto!
 
Chadema ikianzisha redio Tanzania daima halitauza
HONGERA MWENYEKITI KWA KULINDA MASLAHI BINAFSI NA YA CCM
 
Hiyo gharama ya umeme sio sahihi,kwa hivyo vifaa ulivyoainisha haiwezekani umeme ukawa kidogo kiasi hicho.
 
Kwenye masuala ya Media CHADEMA bado wapo nyuma sana, sijui ni kwanini?
Labda hawaoni umuhimu wa kufanya siasa Electronically(Softically) hivyo wameamua kubaki Mechanically(Manually)

Ngoja wapate cha moto ndio watajifunza kitu.
 
Du radio ya nini Marangu? Wenyeji wa kule wana weledi mwingi tu labda ya kuwaliwaza kwa muziki tu. Radio kama ni ya kuelimisha zifungwe kuel ambako kuko nyuma kielimu nchi nzima. Waelimishwe kuhusu kuwa na vyoo, jinsi ya kuangamiza masalia ya mbu, nyumba bora, elimu kwa watoto wa jinsia zote nk
 
Kuelekea uchaguzi mkuu 2015 nimekua nikiandika mail kwa CHADEMA kama maoni yangu kuwepo na vituo vya Radio na TV!! Naomba wazo hili liwafikie viongozi wa chama kuwa na vyombo kama hivo itasaidia kupeleka habari mbali zaidi tanzania kote na dunia kwa ujumla!! Tanzania ni kubwa na ahueni ya CCM ni raia walioko vijijini ambao wanahitaji elimu ya kutosha kuikataa CCM tukianzisha vituo hivo vitarahisisha kazi ya uenezi wa chama!!CHADEMA tuna utamaduni wa kuchangishana ninaimani hili linawezekana......ewew mwana CHADEMA changia maoni yako hapa!!
 
Tumeshaongea mpaka midomo imekauka,tumewaachia waamue wenyewe wakuu,labda wakuu wameona kuwa Jf inatosha
 
hili suala lichukuliwe seriously na uongozi wa chadema,wasitegemee kubebwa na kina Crashwise Mungi n.k
 
Last edited by a moderator:
Kuelekea uchaguzi mkuu 2015
nimekua nikiandika mail kwa CHADEMA kama maoni yangu kuwepo na vituo vya
Radio na TV!! Naomba wazo hili liwafikie viongozi wa chama kuwa na
vyombo kama hivo itasaidia kupeleka habari mbali zaidi tanzania kote na
dunia kwa ujumla!! Tanzania ni kubwa na ahueni ya CCM ni raia walioko
vijijini ambao wanahitaji elimu ya kutosha kuikataa CCM tukianzisha
vituo hivo vitarahisisha kazi ya uenezi wa chama!!CHADEMA tuna utamaduni
wa kuchangishana ninaimani hili linawezekana......ewew mwana CHADEMA
changia maoni yako hapa!!

Naunga mkono hoja but wapi chanzo cha fedha?
 
Noted. Linafanyiwa kazi siku nyingi. Tayari hatua za awali zimeshachukuliwa na zinaonekana kuelekea kwenye lengo kuu.

Asanteni sana wote mnaoonekana kujali umuhimu wa suala hili.

Makene
 
Fedha sio tatizo,hili linahitaji utashi tu.tutachangia nina uhakika wananchi wakiambiwa hili watasapoti asilimia mia,na watachangia,wanahitaji sana kulishwa itikadi na kuwasikia viongozi wao mara kwa mara
 
Pia itatoa muongo kwa vijana haswa wale wanaoishabikia na sio wanachama kupata kuielewa zaidi chama na sio kukishabikia kama timu ya mpira.
 
Back
Top Bottom