CHADEMA acheni usanii hamna huruma yoyote na Jeshi la Polisi wala Serikali

Mkuu CHADEMA tokalini wanahuruma na watanzania? Toka lini? Siyo CHADEMA wanaozunguka dunia nzima kuomba wafadhili na wahisani wazuie misaada na hata mikopo kwa ajili ya watanzania? WAACHE UNAFIKI.
Ni kweli
 
Mimi huwa sisikitiki Mharifu akiuwa hata Maandiko yanasema usimwache Mwanamke Mchawi aishi. Angeanzia kwa bwana Zero brain halafu akaishia kwa Mambo kesho ingependeza sana.
Heri yao wewe siyo mnafiki kama viongozi wa CHADEMA
 
CHADEMA ni wasumbuwa Polisi
CHADEMA wanawaombea kila baya Polisi
CHADEMA wanawachukia Polisi
Hata mimi nawachukia kwa sababu hawafanyi kazi zao kisheria nikitaka japo 50 waende na maji. Pumbavu zao ukiwa na hasira zako usikote wala kulike hapa.
 
Kwa kweli Chadema ni wasanii na wanafiki
 
Mambo ni hatua kwa hatua. Kwa sasa "Intelijensia ya Polisi" inaweza kubaini maandamano ya CHADEMA tu. Haiwezi kubaini hata hatari zinazoweza kusababisha mauaji ya polisi wao. Tuvumilie kidogo, siku zijazo itaboreshwa. Kilangila.
 
Hebu tueleze hizo hatua za haraka ni zipi! Anzia silaha aliyokuwa nayo, ulinzi wa kila wakati uliopo njiapanda ya O/bay na Kinondoni, muda uliochukua mpaka kumuua mtuhumiwa, idadi kubwa ya askari na kutojipanga kujibu mashambulizi (woga wa polisi ulionekana wazi) na idadi ya waliopigwa risasi na mtu mmoja!
Mtazamo wangu ni kuwa polisi walionekana kuzidiwa na mtu mmoja kutokana na kutoinekana umahili wa kumkabili mtu mmoja aliyeanzia na bastola na kuishia na silaha kali aliyoipata toka polisi na kuitumia kuwaua polisi! Zile mbwembwe wazitumiazo kuwakabili Chadema na raia wema hazikuonekana.
 
Mkuu subiri maelezo ya polisi na wenye mamlaka- haraka ya nini
 
kwa nini wafuasi wa Mbowe wamefurahia sana kitendo kilicho fanywa na Hamza cha kuuwa Askari Polisi watatu ? na kuona kama kitendo hicho kilicho fanywa na Hamza dhidi ya Polisi ni cha kishujaa?!!!
Jeshi letu lazima litupie macho makali kwa hawa wahuni wachache.
 
Mkuu hadi rambi rambi inakuuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…