CHADEMA acheni usanii hamna huruma yoyote na Jeshi la Polisi wala Serikali

Hatua za haraka za kupoteza polisi watatu? Crazy. Jeshi la polisi! wangekuwa wahalifu wawili tu ingekuwaje? Walishindwa kumjeruhi na kumdhibiti ili kuhakikisha wanapata mtandao wake?
Kama hujaolewa unadhani dada yako anaonewa na mmewe
 
View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA
Dada mbona unateseka
 
SASA ANGALAU CHADEMA WANAANZA KUWA NA UTU INGAWAJE TAARIFA WAMEITOA KAMA VILE WAMESIKILIZA AU KUONAKWENYE MITANDAO NDIYO WAKATOA TAARIFA YAO HAIKO VIZURI
 
View attachment 1908149
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo madhara makubwa yangetokea. Kwa bahati mbaya hili haliko kwenya tamko la CHADEMA

74DE31BD-3C0B-4183-9827-2F6C34786D12.jpeg

92362FF6-182D-49E9-A994-71688361348A.jpeg
 
hata barua ya kijinga

Hili lichama lishajifia

muuajia alikuwa na bastolaz akawaua polisi wawili akachukua silaha zao

eti anatembea na silaha za kivita.... bila kuonekana ( mwendelezo wa kusikia sikia tu)
Jitu linalojihusisha na Jiwe huwa ni choko tu
 
Hawa viongozi wa Chadema ikiwemo Mbowe walifurahia sana kifo cha Hayati JPM, tena Mwenyekiti Mbowe alimkashifu marehemu bila aibu.
Vyombo vyetu lazima vitambue hila zinazofanywa na hiki Chama ni hatari sana kwa mustakbali wa amani yetu.
lazima wadhibitiwe ipasavyo, wasiwachekee wala wasihadaike.
 
Jiwe alichukiwa na wananchi wote FYI.
 
Mimi huwa sisikitiki Mharifu akiuwa hata Maandiko yanasema usimwache Mwanamke Mchawi aishi. Angeanzia kwa bwana Zero brain halafu akaishia kwa Mambo kesho ingependeza sana.
 
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.
kama Mbowe aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi wengine ?!
vipi hao wafuasi wasio jitambua?!
huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa Chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi ya serikali.
uovu ni uovu tu.
Mbowe inadaiwa kuwatumia hawa wanajeshi walio fukuzwa ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSANI KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
 
Hawa viongozi wa Chadema ikiwemo Mbowe walifurahia sana kifo cha Hayati JPM, tena Mwenyekiti Mbowe alimkashifu marehemu bila aibu.
Vyombo vyetu lazima vitambue hila zinazofanywa na hiki Chama ni hatari sana kwa mustakbali wa amani yetu.
lazima wadhibitiwe ipasavyo, wasiwachekee wala wasihadaike.
Mpka leo mimi bado nasherekea,ukiona uchungu wahi leba
 
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.
kama Mbowe aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi wengine ?!
vipi hao wafuasi wasio jitambua?!
huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa Chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi ya serikali.
uovu ni uovu tu.
Mbowe inadaiwa kuwatumia hawa wanajeshi walio fukuzwa ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSANI KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
Dada mbona unateseka sana,tulia usubirie kada wenu hamza lini anazikwa
Screenshot_20210826-093533_Twitter.jpeg
 
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.
kama Mbowe aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi wengine ?!
vipi hao wafuasi wasio jitambua?!
huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa Chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi ya serikali.
uovu ni uovu tu.
Mbowe inadaiwa kuwatumia hawa wanajeshi walio fukuzwa ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSANI KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
 
Sasa mlitaka tufanye nini kama tusingetoa pole na rambi rambi mngekuja hapa na kusema chadema sio wazalendo kwann hawajajihusisha na mauwaji hayo Kwa polisi
 
Mkuu hapana ninakakerwa na unafiki wa CHADEMA
Nina uhakika ingekuwa uvccm ndio wametoa pole kabla ya chadema ungekuja hapa kuwapongeza na kuwananga chadema. Pole ila ndio hivyo kada wenu ndiye kahusika kwenye ugaidi
 
Tunajua wewe ni mjinga ila sio vyema kufanya hivyo hadharani wakati unajua hao waliofariki ni watanzania na matukio kama haya yakitokea yanaweza kumkuta mtu yoyote.au kwa ujinga wako unadhani polisi ni mali yenu.polisi wanachukiwa kwa matendo yao ila sio kwa ubinadamu wao.
 
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.
kama Mbowe aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi wengine ?!
vipi hao wafuasi wasio jitambua?!
huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa Chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi ya serikali.
uovu ni uovu tu.
Mbowe inadaiwa kuwatumia hawa wanajeshi walio fukuzwa ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSANI KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
1629961492492.png
1629961574786.png

Huyu naye alirubuniwa na mbowe?
 
Back
Top Bottom