CHADEMA acheni kushupaza shingo mtaumia, tambueni hamna backup ya wananchi

Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma.

Mnatakiwa kutambua kuwa ili muwe na nguvu ya kisiasa lazima muwe na backup ya wananchi.

Habari za kutegemea uzushi wa mitandao ya kijamii hasa twita hazina mashiko na zitawatokea puani.

Ingieni mitaani kwenye uhalisia wa mambo ili mpate ukweli. Acheni kupenda kujenga chuki kwenye jamii.Mtaangukia pua.

Mbona wewe Baba yako alikukataa hatujasema.
 
Propaganda hizi bana

Sasa hakuna wananchi na mimi sio mwananchi?

Nenda kaangalie idadi ya walio download App ya CDM,chukua ile idada halafu wafate uulize walikwishakata kadi ni wangapi then uje uongee pumba hapa
Acha kuchukua takwimu twita.
 
Kama mnadhani CHADEMA hawana backup ya wananchi nawashauri mfanye yafuatayo.

1. Mfungeni mbowe.
2.Kifuteni chadema.

Ni hayo tu.
Na anafungwa wala hamfanyi lolote.Waulize waliojaribu kupindua serikali miaka ileeeeeeeeee.
 
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma.

Mnatakiwa kutambua kuwa ili muwe na nguvu ya kisiasa lazima muwe na backup ya wananchi.

Habari za kutegemea uzushi wa mitandao ya kijamii hasa twita hazina mashiko na zitawatokea puani.

Ingieni mitaani kwenye uhalisia wa mambo ili mpate ukweli. Acheni kupenda kujenga chuki kwenye jamii.Mtaangukia pua.

Kama CDM hawana backup ya wananchi mnahangaika nao nini sasa kwa kutumia polisi?
Mmeiba chaguzi,mmebana vyombo vya habari,kila siku mnakamata watu.
Acha kutumia kichwa kufugia nywele,tumia kufikiri. Au labda hakuna ubongo ndani..
 
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma.

Mnatakiwa kutambua kuwa ili muwe na nguvu ya kisiasa lazima muwe na backup ya wananchi.

Habari za kutegemea uzushi wa mitandao ya kijamii hasa twita hazina mashiko na zitawatokea puani.

Ingieni mitaani kwenye uhalisia wa mambo ili mpate ukweli. Acheni kupenda kujenga chuki kwenye jamii.Mtaangukia pua.
If that is the case mbona mnahaha kuzuia mikutano ya ndani ya katiba, kuzuia wananchi kufika kusikiliza kesi ya kiongozi wao etc..
 
No room for chadema anymore katika mioyo ya watz walio wengi ndiyo maana walio muua magu wanajiachia tu na vitambi vimewatoka siku hizi ,kwa sasa tz hakuna chama cha upinzani, iliyobaki ni MAGUFULI LEGACY NA MAFISADI LEGACY TU
kama chama kipya kikianzishwa kwa kikiwa na legacy ya Magufuli ccm itakuwa ndiyo mwisho wake
Nadhani una point
 
..Na aliyeua vyama vya siasa si Magufuli akitumia vyombo vya dola?

..Legacy ya Magufuli ni pamoja na kuvuruga demokrasia ya vyama vingi nchini.
Vyama uchwara visivyo na uzarendo hatuvitaki tanzania ,ndiyo maana magufuli aliviua, unakuta mpinzani anatetea wezi wa madini na kuwapigania mabeberu
 
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma.

Mnatakiwa kutambua kuwa ili muwe na nguvu ya kisiasa lazima muwe na backup ya wananchi.

Habari za kutegemea uzushi wa mitandao ya kijamii hasa twita hazina mashiko na zitawatokea puani.

Ingieni mitaani kwenye uhalisia wa mambo ili mpate ukweli. Acheni kupenda kujenga chuki kwenye jamii.Mtaangukia pua.
Kuna siku hata moja uliwahi kuleta hoja ya maana? Uwezo wako unaishia kwenye mambo ya kufikirika pekee au una kingine chochote cha maana hata kama kidogo, kichwani mwako ambacho hujawahi kukileta hapa jukwaani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom