Chadema acheni kabisa usanii

Chadema acheni kabisa usanii

Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:

  1. kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
  2. kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhuriwa na umati wa watu.
  3. kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
  4. kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.
Mleta thread wewe ni JAHIL MRAKHAB
 
Wewe ni mjinga:sio kwa maana ya tusi but(+gnorant)hata kudanganya tu hujui ina maana televisions ITV etc na magazet kama mwananchi yakiriport LIVE we huoni?jiandae kuhama nchi kama nawe ni fisadi::kufa tu
 
Dah, uliandika ukiwa umetafakari au ni hasira za muda mrefu sasa umeamua kufunguka nazo! Sioni mantiki hapa!
 
Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:

  1. kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
  2. kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhuriwa na umati wa watu.
  3. kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
  4. kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.

Mambo ya kijinga kama haya muwe mnaongea na wake zenu tu siyo kuleta jamvini kwa watu wenye uelewa mpana kuliko baba zenu. Danganya watoto na famIlia yako tu mjinga wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom