Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,975
- 134,085
hata sisi tuliojazana kiasi cha kukosa sehemu ya kutema mate pale Gairo, Kilombero juzi, jana na leo ni picha ya 2010..............daaah, kweli mmerukwa na akili
Hapo kwenye RED CDM wanakusanya fedha waziwazi na zinaonekana na juhudi za matumizi yake zinaonekana, CCM wao wanatumia njia mbaya zaidi kukusanya fedha kupitia upandishaji wa bidhaa mbalimbali kama Sukari, Mafuta(Fuel), Vinywaji, Gharama za Umeme ambazo zinaonyesha ingawa Tz ni nchi masikini lakini tunaongoza kwa gharama za umeme kuwa juu,pia CCM wanatumia mbinu ya kupunguza bei za mazao (Pamba, Korosho) ili hao wanunuzi ambao wengi ni makada wa CCM wanunue na kuuza kwa bei ya juu ambayo pia watu hao hutoa michango mikubwa kwa CCM, kwa hiyo kwa maoni yangu CCM ndo inayokandamiza walahoi wa nchi hii kwani hata matumizi ya fedha hizo hatuyaoni zaidi ya kujitajirisha tu kwa viongozi wetu.Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:
(i)kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
(ii) kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhuriwa na umati wa watu.
(iii).kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
(iv).kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.
Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:

U could have done better than this. Kwa hiyo ndo umeandika nini?
Umefungulia sasa unajmaba jamba tuuuu leo haya jiachiee kwa afya yako