The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Kabisa! 5/2 ni siku ya maombolezo makuu!
Naunga mkono hoja.
Naunga mkono hoja.
Another Idea kama atapatikana msanii / wasanii wakaitisha show ya maombolezo (bure...) katika kiwanja cha wazi chochote.... hii inaweza ikaleta attention kubwa..., ila promotion inabidi ianze mapema ili watu wajue.
ndio siku murua ya kufanya maandamano kama ya tunisia, egypt na yemen
Mawazo kongwe haya!Ni sawa kabisa ila wana JF wawe mbele ili kama risasi za moto zitatumika itupate sisi kwanza na sio kuwajaza jazba wamachinga wanakufa hata hitma yao hamkumbuki. Je familia za waliokufa kwenye vurugu wamefuatiliwa kupewa msaada wowote wakati ndio umekuwa mtaji?
Ni kuandaa kongamano la vijana kupinga mambo mbalimbali ya kidhalimu eg. Malipo ya dowans, ubabe wa polisi, ufisadi na kadhalika. Namuuliza huyu BABA T ndio baba tina au huyu ni mwingine?
..wananchi wahamasishwe kuandamana ili kupinga utawala dhalimu usiaojali maslahi ya wananchi na walipa kodi
Mkuu, uko sawa, na nakuunga mkono!Tuandae special thread kulaani verbal diarhoea za vingozi wa chama na serikali ya CCM katika mambo ya msingi ambayo tunayadai lakini wao wanapuuza kwa kukaa kimya au kutuambia hizo ni kelele za wapinzani, kila mmoja wetu pale alipo awaelimishe wenzaki juu ya haki zao za msingi, wajibu wao kwa umma na wajibu wa serikali kwao.
Tujisomee, tujadili na tutafakari namna ya kuwajibika na kuiwajibisha Serikali ya kikwete. Tujiitenge kimtazamo na aina ya maisha na mafisadi, tuwasaidie wenzetu. Na wale Wazee wakituambia kwamba Kudai KATBA MPYA tusiwe na haraka sisi tuwaulize WAKATI WAO WANADAI UHURU BABU ZAO WALIWAAMBIA WASIWE NA HARAKA ?
Tuwakumbushe CCM kuwa 'Verbal Diaorhoea Dehydrates Human Dignity':sick:
VOR naona hiyo itakuwa mahali pake. PJ hapo pia umenena, sasa tutafute jinsi ya kuhamasisha watu iwe kupitia media, mabango, mbiu ili waunge mkono hayo maandamano na hatua za kuonyesha kuwa tunatawaliwa na chama mfuu!!!!!!!!!!!!unajua hii kitu ikifanyika vizuri.., jambo dogo linaweza lika-attract attention..., mfano wanavyuo / machinga na waendesha pikipiki, makonda wakivaa nguo nyeusi au kitambaa cheusi na wakaendelea na shughuli zao kama kawaida hii inaweza ikavuta media attention.....
..wananchi wahamasishwe kuandamana ili kupinga utawala dhalimu usiaojali maslahi ya wananchi na walipa kodi
VOR naona hiyo itakuwa mahali pake. PJ hapo pia umenena, sasa tutafute jinsi ya kuhamasisha watu iwe kupitia media, mabango, mbiu ili waunge mkono hayo maandamano na hatua za kuonyesha kuwa tunatawaliwa na chama mfuu!!!!!!!!!!!!
Inabidi huu ujumbe ufike kwa partisan political parties, makundi ya wanyonge wote, waendesha pikipiki, tax, wamachinga wote, kina mama makundi mbali mbali, wasomi kwenye mashule na taasisi zingine za harakati za kujikomboa. Uwekwe utaratibu wa ujumbe kuwafikia watu wote wana mageuzi.Ukombozi ni sasa tuanze!!!!!!!!!!!!!
Mkuu this can be done peacefully (kama unakumbuka Gandhi alichofanya yeye aliamua kuvaa shuka kugoma kununua nguo za wakoloni) Sasa hata watu wasipoandamana kama wakifanya mgomo baridi wa kuvaa labda vitambaa vyeusi na kuendelea na kazi zao..., au wasani wakiitisha show ya bure ya maombolezo siku hiyo...., watu watanotice na media coverage itakuwepo kwamba watu hawaridhikiandamana uione cha mtema kuni kudadadeekiiii hatutaki vurugu sisi ziishie hukohuko mkaskazini
New approach to present the grievances...Siku hiyo tuadhimishe MWEZI MMOJA BAADA YA MAUAJI YA KINYAMA YA ARUSHA. Watu wote wapenda mageuzi tuvae nguo za maombolezo na tufanye shughuli za kujitolea ili kuwasaidia wenye shida.
It will broda, coz nimeona pia matangazo ya ITV, siku ya tarehe hiyo kutakuwa na kongamano chuo kikuu UDSM kuhusu azimio la Arusha, na mkongwe Issa Shivji na wataalamu wengine watakuwa live ITV wakitazama legacy na hatima yake ...Ni ishu full!February 5th, 2011 let it be the historical day!