PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,788
- Thread starter
- #41
Anko,Mauaji ya Arusha ni indication tosha kuwa another history has already been made in Arusha; kwamba by using whatever means we will show that we oppose all forms of oppression, injustice, bad leadership, corruption and embezzlement of our resources by few people...through NATIONAL LAMENT; tusitoke, tuvae BLACK wherever we are; kama kuna msanii anaweza kutnga wimbo wa kuomboleza that will be good; tukae kwenye forum hii na kuandika yote tunayoona hayafai na yanahitaji UNCOMPROMISING CHANGE na mambo kadha wa kadha, each one of us can make a difference, tusiangalie fulani afanye, it has to be me and you....ujumbe lazima utafika, na tena wengine tumeshaanza kuwaambia wale ambao hawaingie kwenye forum hii...what to do na tuendelee kuwahamasisha wengi...PEOPLES POWER ALWAYS
Chembe na chembe mkate huwa...Jamiiforums ina nafasi kubwa sana katika kuhamasisha na kufufua na kulipua cheche za fikra!..Mfano ni mimi mwenyewe, kabla sijajiunga hapa nilikuwa sina ufahamu mkubwa wa masuala mengi ya nchi yetu...
Kila mmoja wetu akiwaambia jamaa zake aliyokutana nayo hapa na kuhamasisha, then mwisho wa siku tuna converts wengi tu!...Nia si kuwafanya watu wawe waasi, bali kuwajaza ufahamu wa yanayoendelea ili waamue wenyewe juu ya nchi wanayoimiliki!
mJOMBA TUKO PAMOJA, ...PLAY YOUR PART...IT WILL BE DONE!