Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,260
Hivi huyu naye anawaza kuolewa? Huu usasa unawaharibu mabint.....kamuulize vizuri bibi yako na mama yako walivyoshi na waume zao.
Jina lake ni sexlessAtakaye lioa hili lianaake atapata shida sana.
Hivi kumbe ni mwanamke, mi huwa najua mwanaumeAtakaye lioa hili lianaake atapata shida sana.
kweli sijagegedwa miaka mingi.umenikumbusha mbali sana
Siku hizi kuna banana na faruBalimi na chibuku ndiyo mle mle tu mkuu. Moja haina TBS nyingine ina TBS. Lkn ni kitu mile kile
Ukioga itakataa kuingiaHapana ni hulka yangu ya usafi tu. Kuna homa ya ini siku hizi. Kaoge kwanza na kupiga mswaki ndipo uje kwa mambo ya kulaliana.
wewe ni wa obey masaki mbezi beach eeeeh?Hahaha! Ungejua class yangu wala usingesema hayo. Siyo wa Maji Matitu -Mbagala Kiburugwa mm.
Kwa hiyo wewe usiku haitoki jasho.wala asubuhi unuki kinywa.yanayotokea kwake ndio yanayotokea kwako.huna upendo wa kweli.Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mimi? Sitaki.
Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mimi. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mimi kwangu mapenzi ni usafi.
It seemsUkisikia matapeli au fisadi wa ndoa ndo hawa
Huyu hajuwi kuolewa, hajaolewa na hajikuolewa
Ndoa au kuolewa ataishia kusikia hewani tu
Ndoa sio lelemama au maigizo ni shughuli pevu
Hivi kumbe ni mwanamke, mi huwa najua mwanaume
Mawazo mgando haya. Basi tembea uchi maana mababu zetu walikuwa hawavai nguo. Usafi na akina bibi wapi na wapi?Hivi huyu naye anawaza kuolewa? Huu usasa unawaharibu mabint.....kamuulize vizuri bibi yako na mama yako walivyoshi na waume zao.
😀😀😀Ni jike lililoshindikana
Babu yako alikua havai nguo? Huyo hakuvaa nguo hata undugu na wewe hana. Namzungumzia bibi yako aloyemzaa mama yako na mama yako aliyekuzaa wewe. Hao ndio kawaulize, kama hao hawakuvaa nguo basi hatuna haja ya kujadili chochote hapa.Mawazo mgando haya. Basi tembea uchi maana mababu zetu walikuwa hawavai nguo. Usafi na akina bibi wapi na wapi?
Kama umeota vile.wewe ni wa obey masaki mbezi beach eeeeh?
Kuwa na upendo haina maana ya kuvumilia uchafu. Mm uchafu kwangu mwikoKwa hiyo wewe usiku haitoki jasho.wala asubuhi unuki kinywa.yanayotokea kwake ndio yanayotokea kwako.huna upendo wa kweli.