Cha asubuhi sitaki, labda akaoge kwanza

Cha asubuhi sitaki, labda akaoge kwanza

Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mimi? Sitaki.

Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mimi. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mimi kwangu mapenzi ni usafi.
Jina lako linasadifu
 
Ndiyo maana siku hizi waolewaji hakuna...............
 
Kumbe ndo maana wanaume wanachepukaga wanalala huko huko kwa vimada
 
Ni kitamu ndiyo, lkn nataka akaoge na kupiga mswaki kwanza.
Nimejifunza kitu jamani msimlaumu. Tatizo ni watu au wapenzi aliowaokota na kua nao. Kwa mtazamo wangu na watu wengi kiukweli jasho la mtu unaempenda hua linanukia vizuri sana sasa huyu anaesema anakerwa na jasho la mpenz wake ndo wale anaokotwa tu na mwanaume yeyote ilimradi kapewa pesa. Aise pole kwake
 
Kumbe ndo maana wanaume wanachepukaga wanalala huko huko kwa vimada
Na wachepuke tu lkn upuuzi wa kupumuliana hewa chafu na kupakazana mijasho siukubali hata kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom