Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,086
Mdomo kunuka kwani ni shida mbona nyie tunawavumilia sana kwenye Sambusa zenu?
Okk nimekuelewa tatizo Mme wako kumbe ni mchafu cha msingi kwa maslahi ya ndoa yako unaweza kumbadilisha akawa msafi.akawa ananukia usiku kucha.mnunulie shampuu za kuogea.ili uwe huru mpaka kunyonya mic.pia inaonekana una kinyaa sana.Kuwa na upendo haina maana ya kuvumilia uchafu. Mm uchafu kwangu mwiko
Wachafu kuoga hawa watanipata wapi mie? Wataishia kunisoma JF tu.😀😀😀
Hadi nyie vidume wa humu mmelishindwa?
Sasa ndo unataka mambo waliofanya wao yafanyike enzi hizi. Not me! Find someone else of your type and calibre.Babu yako alikua havai nguo? Huyo hakuvaa nguo hata undugu na wewe hana. Namzungumzia bibi yako aloyemzaa mama yako na mama yako aliyekuzaa wewe. Hao ndio kawaulize, kama hao hawakuvaa nguo basi hatuna haja ya kujadili chochote hapa.
😀😀😀😀😀Wachafu kuoga hawa watanipata wapi mie? Wataishia kunisoma JF tu.
Huyo uliyempata endelea naye. Maana mtu wa type yangu naweza kukuacha siku ya fungate. Sivumiliagi uchafu ama harufu mbaya mm.Mdomo kunuka kwani ni shida mbona nyie tunawavumilia sana kwenye Sambusa zenu?
Akikua ataacha. Unajua ukiwa 20s you think you own the world....30s akili zinaanza kuchangamka...40 na kuendelea ndio yale mambo ya bora ninacho kuliko kulala peke yangu.Kumbe wewe ukilala hutoi jasho, hunuki mdomo,hutoi udenda!!! Sio anakulalia ni mnalaliana, ndege wafananao huruka pamoja. Pambaneni na hali zenu
Kpango wao...😀😀😀😀😀
Nawaona nawaona wanavokumind
Matakuja kupatwa magonjwa yasiyotibika Bongo (mpk upelekwe Apollo) bure kisa kuendekeza ndoa.Ule uvundouvundo wa asubuhi wa mwenza wako, uwe wa mdomoni, kwapa au ukeni...ni suna kwanu!
😀😀😀
Hadi nyie vidume wa humu mmelishindwa?
Madame, hujanipeleka wewe shule hata uniandikie Kiingereza. By the way usijafanye mjuaji sana hapa. We unajua walifanya nini? Mbona unakimbilia kusema mambo waliyofanya wao wakati hujajua walikua wanafanya nini?Sasa ndo unataka mambo waliofanya wao yafanyike enzi hizi. Not me! Find someone else of your type and calibre.
I believe kwa akili yqngu hakuna kitakacho badilisha msimamo wangu. Suala la kujipenda nimezaliwa nalo. Siyo issue ya umri. Tangu primary niko hivi.Akikua ataacha. Unajua ukiwa 20s you think you own the world....30s akili zinaanza kuchangamka...40 na kuendelea ndio yale mambo ya bora ninacho kuliko kulala peke yangu.
It takes two to tangle...I hope you will find what you look forI believe kwa akili yqngu hakuna kitakacho badilisha msimamo wangu. Suala la kujipenda nimezaliwa nalo. Siyo issue ya umri. Tangu primary niko hivi.
Umezisoma sifa 9 za comrade Mugabe? Mojawapo ni unadhifu. Mpk leo pamoja na uzee wake ule bado anajipenda.