Asante kwa kuunga mkono hoja mkuu. Mtu kapiga balimi halafu alale asubuhi anataka denda! Neverhahaha mapenzi ni dirty au clean game ila usafi muhimu jamani wengi wanalalaga bila kupiga mswaki au wanavaa minguo mizito lazima mambo yawe magumu usafi muhimu
Hata cha usiku wewe mweke pembebi tu halafu mabrotherman wakijitwisha mke usipige kelele.Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mm? Sitaki.
Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mm. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mm kwangu mapenzi ni usafi.
Hata kama kitamu. Usafi muhimuUngejua kilivo kitamu cha monie
Hapo unaongopa. Kila mtu anapolala, mwili hutoa mijasho na miudende mdomoni.
Asante kwa kuliona hili mkuuKweliii
jibu muruaa kabisaKumbe wewe ukilala hutoi jasho, hunuki mdomo,hutoi udenda!!! Sio anakulalia ni mnalaliana, ndege wafananao huruka pamoja. Pambaneni na hali zenu
Hahaha! Ungejua class yangu wala usingesema hayo. Siyo wa Maji Matitu -Mbagala Kiburugwa mm.Acha uwongo wewe. Unaokota walevi huko mitaani wanalala mdomo wazi na kutoa udenda basi unadhani kila mtu anatoa udenda anapolala.
Fursa kwangu hiikweli sijagegedwa miaka mingi.umenikumbusha mbali sana
Hahaha! Ungejua class yangu wala usingesema hayo. Siyo wa Maji Matitu -Mbagala Kiburugwa mm.
Ni jiwe tu limetupwa gizaniKama ungekuwa wa hivyo mbona unaokota majitu yanayotoa udenda na kunuka jasho na mdomo? Hao unaowapata hawajui umuhimu wa usafi au kitu gani?
ivi balimi ni sawa n.a. chibuku au mbona zinasakamwa sanaAsante kwa kuunga mkono hoja mkuu. Mtu kapiga balimi halafu alale asubuhi anataka denda! Never

coz wanywaji wa chibuku ukiwaangalia tu ni burudani Balimi na chibuku ndiyo mle mle tu mkuu. Moja haina TBS nyingine ina TBS. Lkn ni kitu mile kileivi balimi ni sawa n.a. chibuku au mbona zinasakamwa sanacoz wanywaji wa chibuku ukiwaangalia tu ni burudani
Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
Faggot
Wanukaji hulaliana sio!Kumbe wewe ukilala hutoi jasho, hunuki mdomo,hutoi udenda!!! Sio anakulalia ni mnalaliana, ndege wafananao huruka pamoja. Pambaneni na hali zenu
Hapana ni hulka yangu ya usafi tu. Kuna homa ya ini siku hizi. Kaoge kwanza na kupiga mswaki ndipo uje kwa mambo ya kulaliana.mtoa mada una jini ww