Madame, hujanipeleka wewe shule hata uniandikie Kiingereza. By the way usijafanye mjuaji sana hapa. We unajua walifanya nini? Mbona unakimbilia kusema mambo waliyofanya wao wakati hujajua walikua wanafanya nini?
And ofcourse you are neither my type nor calibre....guess why?
In this modern life we wash and make our mouths clean before going to bed. We sleep so nicely that we don't experience sweating. If you are living today and experience sweating and bad mouth odor in the morning.....wewe ni mtu wa kale-yes, you are not my type. Hata kama unaishi chumba cha kupanga kimebanana na hakuna hewa ya kutosha.....mama kuna feni nyingi tu mjini....naaa! Aaah wewe ni wale wale akina asha ngedere tu huna maana.
Maana yake unakuja kutuambia hapa kuwa bwanako ananuka mdomo na makwapa asubuhi.

Sukari Yenu