Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,648
- 3,807
vp kuhusu ww na ww unaenda oga na kupiga mswaki?Hapana ni hulka yangu ya usafi tu. Kuna homa ya ini siku hizi. Kaoge kwanza na kupiga mswaki ndipo uje kwa mambo ya kulaliana.
btw usafi ni nini?
vp kuhusu ww na ww unaenda oga na kupiga mswaki?Hapana ni hulka yangu ya usafi tu. Kuna homa ya ini siku hizi. Kaoge kwanza na kupiga mswaki ndipo uje kwa mambo ya kulaliana.
Mkuu kama hujui maana na mantiki ya usafi basi hii mada ulipaswa kupishana nayo roundabout. Vinginevyo lipia tuition fee watu watoe elimu.btw usafi ni nini?
Huku kwetu hatutoki mijasho tuna fan na AC mindenda midomoni ulalaji mbaya.Hapo unaongopa. Kila mtu anapolala, mwili hutoa mijasho na miudende mdomoni.
Haahaa. Wengi watamuona kaongea kitu cha ajabu ila kiuhalisia ni uchafu bana haswa kwa wale wanaotoka majasho na kunuka midomo lazima kinyaa kiwepo bana.upo sahihi mamake, binafsi mimi naona kinyaa mnaa amka midomo inanuka alafu eti muanze kulana mate no, no, boro umuingizie tu then mkisha maliza kuoga ndio ndio mfanye hayo.
Bado hajakufuaa vizuri huyo Mr mwambie aongeza rahaaaa zaidiUdenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mm? Sitaki.
Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mm. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mm kwangu mapenzi ni usafi.
Umemwambia mhusika mwenyewe lakini?Ni kitamu ndiyo, lkn nataka akaoge na kupiga mswaki kwanza.
Kumbe wewe na bwana'ko ni watu wa hali duni kabisa hadi anakunywa balimi halafu unasema wewe ni wa class nyingine.Asante kwa kuunga mkono hoja mkuu. Mtu kapiga balimi halafu alale asubuhi anataka denda! Never
Kwa nini usiseme TUKAOGE na kupiga mswaki.Ni kitamu ndiyo, lkn nataka akaoge na kupiga mswaki kwanza.
Akijibu hili nitagUmeolewa au unakota njiani?
njoo kwangu nikugegedekweli sijagegedwa miaka mingi.umenikumbusha mbali sana
Miss una vituko, hata mwaka haujaisha ulitafuta jamaa ukasema umepata sasa leo tena unasema huja.....kweli?kweli sijagegedwa miaka mingi.umenikumbusha mbali sana