Cha asubuhi sitaki, labda akaoge kwanza

Cha asubuhi sitaki, labda akaoge kwanza

Kumbe wewe ukilala hutoi jasho, hunuki mdomo,hutoi udenda!!! Sio anakulalia ni mnalaliana, ndege wafananao huruka pamoja. Pambaneni na hali zenu
Ila kile cha saa kumi na moja ua kitamu mama wengi tu awajui loh!
 
Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mm? Sitaki.

Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mm. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mm kwangu mapenzi ni usafi.
 
Mnajiendekeza tu. Yaani ndiyo nivumilie jasho na harufu mbaya pqmoja na miudende kisa ndoa?
bwanaako huyo mchafu, sio wote wanatoa hiyo mijasho na miudenda inayonuka kama huyo bwanako, hiyo ni case yako ww pambana na changamoto yako
 
Ndio maana kuna msemo unasema... Ukikubali kuolewa sharti ulale uchi, Mimi hata iwe saa nane usiku mizuka ikipanda ni lazima nikutie, hutaki jasho langu kalale kwenye kitanda alichochonga dingi yako. Hakuna gemu tamu kama za alfajiri sema ndo vile tu hamueleweki nyie majike
 
Kwahiyo wewe umeona hilo k lako ni kitu cha maana.Siku ukiingia kwenye 18 zangu nakwambia vua nguo,nakuangalia halafu nakwamba ondoka
Hahahah, unamtia na dole, unalinusa afu una temea mate K... Unamwambia vaa sepa.
 
Hahahaha...uolewaji ni responsibility na accountability, na kwenye mahusiano kile unachokiona kwako kidogo kwa mwenzio cha wezakuwa kikubwa saana, na chaweza leta kutofautiana kiasi cha kuachana kabsaa.
Na hapo kuambiana ukweli inakuwa shida,unamwambia mke wako unanuka jasho / au unanuka papuchi/mdomo inabidi uwe kauzu
 
Udenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mm? Sitaki.

Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mm. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mm kwangu mapenzi ni usafi.
Huko kwenu mkilala mnatoka mijasho na kunuka badala ya kunukia lotion unatakuwa unaishi kwenye mzingira hatarishi.
Pole sana mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom