Cement za Dangote zinapatikana wapi?

Cement za Dangote zinapatikana wapi?

Ametangaza itakuwa buku 8 hata hivyo anangalia uwezekano wa kupunguza zaidi hapo baadaye.
 
Kwahiyo mfuko wa cement utakuwa 8,000 TZS kwa bei ya jumla, ila ikishaingia mtaani tutawez kuipata kwa 9000 mpaka 9500 TZS. Itakapoingia Dar es salaam wadau tufahmishane
 
Ukweli ni kwamba bei ya Dangote ni Tsh 8000 ila mafisadi wanataka iuzwe Tsh 12000.Ili mirija yao isizibe.habari ndo hyo

Du....dangote naye amekubali?!

Yupo nchini ki biashara inabidi tu akubali yaishe

Hatari sana...tunachinjana wenyewe kwa maslahi ya wachache....

Hayo ndio madhara ya kua na serikali.inayo ongozwa na mafisadi...

Akiuza 12k imekula kwake,Auze Hiyo Hiyo 8k.

Ametangaza itakuwa buku 8 hata hivyo anangalia uwezekano wa kupunguza zaidi hapo baadaye.

Kuna mtu wa serikalini ana nunua cement yote toka kwa dangote kwa 8000 anakuja kuwauzia kwa 12000.
 
Acha uongo shinda sio serikali ni sisi wenyewe na urafi wetu, nawisho ni rahisi kusingizia serikari, kwani wanaouza bei hio ni serikari?????

Inatajwa kuwa yeye Dangote alitaka iuzwe Tsh5000,ila ikaonekana atawaumiza wenzake, hivyo bei ya Cement ya Dangote ni Tsh8000 kama wadau walivyodai!
 
Ukweli ni kwamba bei ya Dangote ni Tsh 8000 ila mafisadi wanataka iuzwe Tsh 12000.Ili mirija yao isizibe.habari ndo hyo
Labda kwenye serikali ya Lowassa hao mafisadi watakuwa na uwanja wa kutanua. Lakini sio serikali ya Magufuli. #HapaKaziTu
 
Labda kwenye serikali ya Lowassa hao mafisadi watakuwa na uwanja wa kutanua. Lakini sio serikali ya Magufuli. #HapaKaziTu

Tanzania ya maguful?
!!!!!!!
Nchi itajengwa na mtu mmoja?
Mtu ambaye amesimamia ujenzi wa barabara chini ya viwango,
Mtu aliyeshindwa kulipa wakandarasi na sasa nchi inalipa faini ya kuchelewesha malipo
Mtu aliyeuza nyumba za serikali kiholela,
Mtu aliyeshika wachina kwa kuvua samaki akitaka sifa kumbe hakuwa na hoja za msingi sasa nchi inaingia hasara ya mabilion kulipa fidia,
Mtu anayesema ataunda mahakama maalum ya mafisad wakati serikali yake imeshindwa hata kujaribu kuwashtaki, inalalamikia wananchi na kushika wapinzan tu.
Mtu mnafiki anayejifanya anachukia rushwa wakat anatumia gar za serikali kufanya kampen, anagawa tisheti na kofia kwenye kampeni zake, anahonga watu pesa ili wahudhurie mikutano yake, anabeba watu kwa malori kwenda kwenye mikutano yake, RUSHWA TUPU.
Mtu ambaye anaikosoa na kuilalamikia serikali ambayo yeye bado ni Waziri katika baraza la mawaziri na hasemi amefanya nn kuondoa kero za wananchi akiwa kama mshaur wa rais kama Waziri,
Mtu asiye na utu wala huruma kwa wananchi wanyonge, alisema wapige mbizi, wasambaze vinyesi barabarani viwe lami,
Mtu aliyeishiwa hoja na kutaka ikulu kwa kutisha watu kuwa wakichagua upinzani itatokea vita maana yake n kuwa hayupo tayari kukubal maamuz ya wananchi kuikataa ccm,
Mtu ambaye hawez kupanga wasimamizi vizur hadi aende saiti akasimamie mwenyewe, sasa rais akienda saiti sjui itakuwaje?
Mtu ambaye hana uzoefu wa uongoz, hajawah hata kuwa baloz wa nyumba kumi kwenye chama.
Mtu ambaye inasadikika hajui kingereza vizuri
Mtu ambaye anatumia kiki ya kusalimia watu kwa kikabila kwenye kampeni wakati watanzania tunaunganishwa kwa kiswahili.
Mtu ambaye anapiga push up jukwaan mbela ya watoto na wajukuu wkat hana hata historia ya kwenda Jim,
Mtu ambaye anadhihaki afya ya mwenzie wkat yy alienda kwa babu wa loliondo kugonga kikombe.
Mtu ambaye so and so and soooo.

Lowasaaaaaaaa
Mabadilikoooooo
 
Kuna mtu wa serikalini ana nunua cement yote toka kwa dangote kwa 8000 anakuja kuwauzia kwa 12000.

Anakuwa distributor kama wale wa sukari, then naye anawauzia wenye hardware kwa hiyo 12000, so mwisho wa siku hadi imfikie mlaji bei itakuwa mule mule kama kina twiga cement
 
Waliopo hata waliohamia UKAWA pamoja na Mwalimu Nyerere hawajafanya lolote. Dangote kaletwa na Lowasa azungumze naye iwe bure kwa wote ili alete maadimiko ooh samahani mabadiliko,eti ee
 
Back
Top Bottom