Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Mkuu.......Siku zote kwenye football kipa akitema mpira na mshambuliaji wa timu pinzani akifunga huwa ni kosa la KIPA.....Kaseja amefanya kosa alilofanya Jean Claude Ndoli wa Rwanda juzi walivyocheza na Stars.......Hakuna kosa alichofanya Juma K Juma Mabeki nao wanacheza Foul za mchangani wanaona kurusha miguu ya kifua ndio mpira na Rebound hakuna hata mchezaji mmoja wa Kilimanjaro aliyewavamia Cranes japo najaribu kumtetea Juma Kasseja naye ni muda kuweka Gloves chini awapishe wengine.
Hahaha mechi haijaisha lakini naona SS9 wanaweka katangazo eti fainali ni Kenya na Uganda.
Cranes Kama Yanga
Hiyo ni 'As It Stands' MkuuSupesport wameonyesha tangazo lao la mechi ya fainali Jumamosi kati ya UGANDA na KENYA!
Tanganyika mboga, teh teh teh.
Wakuu hatuna sababu ya kubaki hapa turudi Jukwaa la Siasa, hamna kitu hapa
Tanganyika+Zanzibar=Tanzania. Kwanini tuna timu mbili tofauti? Kwanini tusingekuwa na timu ya taifa inayojumuisha na Wazanzibari?
TZ tuna mpira wa magazetini once again live pumba zetu zinaonekana. Sijawahi kuiamini bongo ktk mpira wa miguu. Wanacheza ovyo tu msisubiri kushinda kikombe na timu hii ovyo. RIP TZ wanajisemea wagandarafu ya kizembe sana imechezwa na Tanzania, Kaseja kadaka na kuutema mpira, waganda wanashambulia hapa kama watatu hivo,,,,ni goli!!Ssentongo tena!!-UG 3 vs TZ O
Mpira huwa ni dakika 90 na iwapo Tanzania watarudisha goli hizo,moja kwa moja wana haki ya kuishitaki Supersport.Wendawazimu watarudisha 3 hizo?
Wendawazimu watarudisha 3 hizo?
Dakika ya 82
Tanzania 0-3 Uganda