CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Naona kiungo kimetulia sasa hivi.....Tunazuia na kutengeneza mashambulizi
 
Kama midfield ikitulia magoli yapo, kipa wao siyo mahiri. Washambuliaji watulie, inshaallah tutashinda.
 
Tunashambuiwa sasa.....Walusimbia anatoa krosi.....Inaokolewa.......Goal kick
 
Ngassa bado makeke yake nafikiri bado hajapata moto...dak ya 24
 
Huyu Sure Boy anaboa sasa.....Atolewe tu...

Tunashambu
liwa.....Kona

Yondani anaokoa.....Mpira unakuwa wa kurushwa kue
lekea lango letu.........Kaseja anadaka
 

Mkuu ni mapema sana kuanza kufanya substitution, nadhani wachezaji watacope tu. Let us keep hope
 
Dakika ya 25

Tanzania 0-1 Uganda

Tunashambuliwa......Sentongooooooooooooooo.............Kaseja anadaka
 
Huyu Sure Boy anaboa sasa.....Atolewe tu...

Tunashambu
liwa.....Kona

Yondani anaokoa.....Mpira unakuwa wa kurushwa kue
lekea lango letu.........Kaseja anadaka

Mkuu nakuunga mkono, asipotolewa Sure Boy, ni bora refa akamaliza mpira sasa ivi

 
Kocha amtoe Sure Boy jamani, anatugharimu sana huyu...Anapotea mipira hovyo na kuruhusu mashambulizi
 
Ona sasa Sure Boy anaharibu move nzuri ya krosi ya Ngassa.....Anapiga mpira kwa goti..........lol
 
Kuna mchezaji wa Uganda ameumia.....Ni Emma Okwi......Anagangwa
 
natafuta kuwatch online wakuu, msaada tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…