Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Wanaofuatilia tupeni matokeo pls!
Wengine tumo madongo kuinama hakuna TV
Matokeo ni 2-2, hivi sasa ni mikwaju ya penati.
Wanaofuatilia tupeni matokeo pls!
Wengine tumo madongo kuinama hakuna TV
Hahahahaah! Mkuu ungekuwa mtangazaji unaweza kuuwa watu kwa presha.