....wana undugu, si mafisadi wengi wapo Yanga, wakiongozwa na Rz1 na Manji.... 🙂 Sasa kesho mchapane bakora na uchaguzi then mje kuishangilia URA !!
Na magazeti yenu kama Mwanaspoti sijui yataandika nini sasa.... Chujinho, Fabrigas wa mbao au ukuta wa vidic kauza...lol