Yule mzungu ni kama mfa maji,haishi kutapatapa. Kwani wao APR kwanini walishindwa kutumia fursa ya red card waliyopata Yanga wakashinda?Mimi huyu kocha amenishangaza sana,amelalamikia goli walilofungwa akidai kuwa wachezaji walikuwa wakigombana nje alafu refa akaruhusu mpira urushwe na hatimae Yanga kujipatia goli la kuongoza dakika ya 100. Pili,huyu kocha amelalamikia kitendo cha mchezaji kutibiwa kwa dakika 6 uwanjani,nadhani alitafsiri kuwa ulikuwa ni upotezaji wa muda. Sasa hapa cha ajabu ni kwamba,kwa nini alilalamika kwa msisitizo kuwa "THIS IS AFRICA...",je,alimaanisha Africa hakuna waamuzi wenye akili au wachezaji pia hawana uwezo wa kutosha na ndio sababu ya wao kujidai wameumia mara kwa mara ili kupoteza muda?
Pia nikajiuliza,kama huyu kocha amefikia kuidharau Afrika,sasa anafanya nini huku,si aende Ulaya au mabara mengine akafundishe soka?
Ndo hayo tu niliya-note leo baada ya mecì kati ya APR FC VS YANGA FC.
Yule mzungu ni kama mfa maji,haishi kutapatapa. Kwani wao APR kwanini walishindwa kutumia fursa ya red card waliyopata Yanga wakashinda?
utabiri huu na kwa sala zako labda yanaweza kutimiaAzam timu fungasha hao yanga goal 2 tu zinawatosha
Ni muda ule ule saa 10, walifikiri APR na VITA wataenda dk.30 zaidi na baadae Penalt ndo maana mechi imeanza mapema.wakuu naona mechi ya APR imewai sasa dak. Ya 88 APR 1-2 Vita club. Je na ya Yanga itawai.?
Yule mzungu ni kama mfa maji,haishi kutapatapa. Kwani wao APR kwanini walishindwa kutumia fursa ya red card waliyopata Yanga wakashinda?
Sijui Mzungu wa wapi yule,eti ooh goli lilifungwa katika mazingira tatanishi,kwanini team yake na yenyewe haikufunga goli katika mazingira tatanishi basi iwe 1-1,tuingie kwenye penalt?
Ni muda ule ule saa 10, walifikiri APR na VITA wataenda dk.30 zaidi na baadae Penalt ndo maana mechi imeanza mapema.
Dahhhhh!natamani nami ningekua japo nachungulia kwenye kioo,anyway najua jf ni zaidi ya kideo,so sisi tulio mbali tutayapata matokeo hapa ndani!Waleteni waleteni hao Azam,koo linaniwasha kushangilia ile mbaya
utabiri huu na kwa sala zako labda yanaweza kutimia
Azam timu fungasha hao yanga goal 2 tu zinawatosha
Penalt na kipa mwenyewe Baltez??? ingekuwa mwisho wa safari
Na iwe hivyo mkuu hawa watani wakichukua kombe hili mtaani hakutakalikautabiri huu na kwa sala zako labda yanaweza kutimia
Hapana mkuu, 3 bila ndo inafaa ili kuwanyamazisha kabisa hawa yebo.
PrN,Bemg na Skype najua mtaishia kimyakimya humu ndani hata kuaga hamtaaga