Mtaongea sana lakini hiyo imeshakuwa historia kama tulivyo wanyuka 5 - 0 au mlivyotandikwa na Azam FC mpaka mkapiga refa au mmesahau 3 - 1..Nashangaa mnawashwa na nini Simba kufungwa na Azam ilihali nanyi mnadeni kwa azam ya idadi hiyo hiyo mbaya zaidi mnadeni la goli 5 kwa mnyamawashabiki na wapenzi wa Simba Sports Club wamesusia kufturu Chapati zinazotengenezwa na kiwanda cha Azam.
Hii inatokana na kipigo cha Gombania Daku walichokipata hivi karibuni
Mtaongea sana lakini hiyo imeshakuwa historia kama tulivyo wanyuka 5 - 0 au mlivyotandikwa na Azam FC mpaka mkapiga refa au mmesahau 3 - 1..Nashangaa mnawashwa na nini Simba kufungwa na Azam ilihali nanyi mnadeni kwa azam ya idadi hiyo hiyo mbaya zaidi mnadeni la goli 5 kwa mnyama
washabiki na wapenzi wa Simba Sports Club wamesusia kufturu Chapati zinazotengenezwa na kiwanda cha Azam.
Hii inatokana na kipigo cha Gombania Daku walichokipata hivi karibuni
mi simlaumu kocha,,ninacho jiuliza mimi kwanini waliongeza dakika 30 wakati hii si fainali,na kama wangepiga penati yanga angetolewa,,mpira wa bongo bwana hakuna kitu,,kwanzia rais,mpaka waziri upepo tuuuu kichwani
Juzi na Mafunzo zilipigwa penalti mkasema ushindi wa kubahatisha leo tena... Hakuna jambo jema kwa Yanga? Au ndio unajifunzia uchambuzi kwenye mashindano ya kagame? Kwa hiyo dakika 30 ziliongezwa kuibeba Yanga. Na kadi ya Taita ingetoka upande wa APR sijui mngesemaje?
Hivi umeelewa huyu kocha alimaanisha nini kwa kusema " This is Africa"? Ni madharau,kumaanisha kuwa Afrika ni vilaza.
Kweli this is africa kwani uongo,ths is not america or asia,japo ukwli yanga tumebebwa..
Nikikaa bila ku comment sitatenda haki hapa..Kwa wale msioelewa, ni referee peke yake ndiye anayeweza kusimamisha mpira kwa filimbi yake kwa chochote kilichotokea ambacho anaona ni kinyume na sheria za soka..Kama mchezaji ameumia,hata akivunjika kichwa na mpira ukaendelea kama referee hajaona madhambi,mpira utaendelea na hata goli laweza kufungwa. Wachezaji wa APR wali concentrate na Bahanuz wakitaka kugombana nae,huku wakielewa wazi referee hakupuliza filimbi kusimamisha mchezo,Yanga wakatumia nafasi hiyo kurusha mpira haraka APR wakashitukia ujinga wao,jaribu kufukuzia wapi!!Kiiza kawatungua tatizo liko wapi?Na kuhusu kupoteza muda hiyo ni tactic inayojulikana dunia nzima hauwezi kulalamika kufungwa kwa mwenzako kupoteza muda.Kwani wangekuwa wao APR ndio wamepata bao dakika zile wasingepoteza muda?? Kama hamjui sheria za soka si mnyamaze? au bado mna hang over za ramba ramba 3 mlizoleweshwa? Subirini kesho tuwaoneshe jinsi ya kuwalamba hao Azam! Aramba, Aramba tena hao Azam ham ham ham!!
Kocha analalamika mchezaji anaumia dk 6 lakini zinaongezwa dk 3 tu! Hii inapatikana afrika tu, ndicho alicho maanisha!
mi simlaumu kocha,,ninacho jiuliza mimi kwanini waliongeza dakika 30 wakati hii si fainali,na kama wangepiga penati yanga angetolewa,,mpira wa bongo bwana hakuna kitu,,kwanzia rais,mpaka waziri upepo tuuuu kichwani
Na wewe inaonekana Yanga kushinda imekuuma sana roho hata ukashindwa hata kuona jana refarii alipoiumiza Yanga kwa kadi nyingi mpaka na nyekundu pia hata marefarii wa nje huko huko Ulaya anakotoka kocha wako wa APR wanafanya the same.mfano mechi ya Arsenal na Chelsea,Thiery Henry alipiga freekick kuelekea Chelsea na akafunga wakati hata refa yuko pembeni na Chelsea hawajajipang,pia ManU na Lille goli la Giggs,ManU na Totenham goli la Nani.kilichowaponza Timu yako ya APR ni lack of concentration badala ya kuwamaki wachezaji wetu wakajikita kwa Bahanuzi pekeemi simlaumu kocha,,ninacho jiuliza mimi kwanini waliongeza dakika 30 wakati hii si fainali,na kama wangepiga penati yanga angetolewa,,mpira wa bongo bwana hakuna kitu,,kwanzia rais,mpaka waziri upepo tuuuu kichwani