CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

karibu sana mkuu

Kuanzia leo mpaka fainali niko Azam naomba wachezaji wa azam watuokoe na aibu hii maana yanga wakilichukua, tutapata shida sana...safari hii ulinzi utakuwa wa kutosha maana tunajua wanajipanga kumpiga refa wa mechi hiyo...
 
hapa sasa roho yangu safi kabisaaaa.....kombe linabaki nyumbani.
 
Kuanzia leo mpaka fainali niko Azam naomba wachezaji wa azam watuokoe na aibu hii maana yanga wakilichukua, tutapata shida sana...safari hii ulinzi utakuwa wa kutosha maana tunajua wanajipanga kumpiga refa wa mechi hiyo...

Nauliza baada ya Azam utahamia wapi?
 
Kuanzia leo mpaka fainali niko Azam naomba wachezaji wa azam watuokoe na aibu hii maana yanga wakilichukua, tutapata shida sana...safari hii ulinzi utakuwa wa kutosha maana tunajua wanajipanga kumpiga refa wa mechi hiyo...
 
well done lads...simba angalieni mjifunze jinsi ya kufunga na kushinda mechi...

YANGAAAAAAA!!!!
 
Niyonzima leo kafunika
Bila kumsahau Athuman Idd Athuman 'Chuji'.....

Huyu jamaa karudi kwenye fomu sana mkuu....

Kuna mtu alisema Chuji alijitazama kwenye kioo akagundua adui wake ni nani,hivyo akamkwepa na kubadilika kitabia......Jamaa yuko vizuri sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…