....wamekimbia sasa labda mpaka goli lipatikane....ha ha ha ha tumewaambia kelele mingi lakini uwanjani sifuri !! Mtabaki na la la lal a na subirini muone manufaa ya urafiki cup kwa wanalambalamba na mnyama !!
Ubingwa wa africa mwakani lol.... Yondani yatamkuta kama ya yule rasta Idd, alikimbia simba sasa anachoma mahindi na matusi kila siku kutoka kwa kandambili...
Watani pole, kiukweli leo nilitaka mshinde, lakini ndo hivyo jitahidini labda mnaweza kusawazisha, waambieni wanachama wenu wawe watulivu hata kama matokeo yatabaki hivi hivi ili kesho mfanye uchaguzi kwa utulivu.