CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Yanga na APR nao wameingia uwanjani wanapasha. Kocha anashangiliwa kwelikweli.
 
goool azam wanasawazisha bao hapa boko dakika 67 john boko adebayo
 
Afadhali hili kombe lichukuliwe na Azam kuliko yanga....maana hatutakunywa maji..........
 
azam wamecharuka hapa azam wanapata goli refa anakataa anasema imefanyika madhambi
 
Hivi huyu Kocha wa Azam Hall kwa nini anamuweka benchi Mrisho Ngassa?....Ama ndio anamuweka ili ausome mchezo?....Maana Ngassa tangu aingie ameubadilisha mchezo
 
Kazeni Buti Azam...kombe lazima tulijaze Ice cream hilo....Go Boko go....
 
Kipa wa Vita Club hajaguswa kama picha za reply zilivoonesha...wana bahati refa hajaliruhusu goli hilo la pili la Azam

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…