Huna lolote.... unaumia sana moyoni Simba imefungwa leo.
Unajifanya Azam lakini maneno na ushabiki wako una viashiria vyote (ebu yatamke hayo maneno yako hapo juu kwa sauti.....do you hear that?) kuwa wewe ni Simba tena wa kutupwa!
Rage"dhaifu"!!!!!
View attachment 59804mambo ya jana ya mnyama ndani ya uwanja wa taifa hayo ndio mpira wetu huo
karibu chamanzi nikupe kadi simba ndio nini tushawapiga bao swafiiii...
Mechi ya kwanza saa ngapi?
Kila la kheri wanalambalamba na yeboyebo kwa mechi za hapo kesho.tunawaombea ushindi ili kombe libaki kwenye ardhi ya tanzania.Yanga usikubali APR akufunge na Azam vilevile ucheze nguvu na kwa kukamia kama ulivyofanya kwenye mechi ya simba ili uwatoe hao Vita club na warudi kwao kuwasaka waasi wa M23 kwenye milima na mapori ya congo
Mechi ya kwanza saa nane mchana na ya pili saa kumi jioni.
Yeye kakuuliza mechi ya kwanza,hakua na shida ya kujua mechi ya pili,kwahiyo ndg yangu kama ingekua shule basi ungesha kua umekosa.