CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

wakati umefika kwa wabongo kudhani ni simba na yanga tu ndo zinacheza mpira wa maana Tz na/au zinastahilikushinda kila ziingiapo mashindanoni! hizo zibaki kuwa zama za hekaya!
 
Huyu Muingereza vp,huu ni wakati wa kumuingiza Ngassa awatandike goli la 3
 
wakati umefika kwa wabongo kudhani ni simba na yanga tu ndo zinacheza mpira wa maana Tz na/au zinastahilikushinda kila ziingiapo mashindanoni! hizo zibaki kuwa zama za hekaya!

mkuu umeongea kweli azam anakuja vizuri. Yanga na simba wawe makini jamaa wanacheza mpira wa kitabuni .!
 
kwa vile usajiri bado unaendelea, ningeshauri Simba ianze zoezi hilo upya; alafu siyo tena kwenda kujificha Zanzibar mazoezi yafanyikie hapa ili tuone makosa yao mapema.
 
Sub za huyu Muingereza hata sizielewi,au Boss wake (Mdau mkubwa wa Simba) keshampa maagizo ya kuidhoofisha team ili Mnyama asawazishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…