CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

azam wananyimwa penati ya wazi kabisa naona huu ni mpango wa msonye simba ipite. Aibu kweli kwa watani
 
Bado Azam 1-0 Simba dakika 45 huzuni kubwa kiasi gani aisee, Simba wananyima raha sasa.
 
Hali ishakuwa mbaya, ngoja tusubiri kipindi cha pili, Hongera Ndetichia kwa kutangulia na mpira ukiisha hivi hivi nitakupongeza kwa ushindi.
 
simba leo vipi mbona hamchezi kitimu ...imeshakuwa balaaa
 
Bado Azam 2-0 Simba dakika 52 Simba wakaze buti wanayo nafasi ya kusawazisha na Kaseja kudaka penati kama kawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…