Hapa umekuwa kama Lusinde wa
CHADEMA.
Chadema hatuna mapunguwani kiasi hicho....
Yani kila sehemu siasa?Yanga=CCM...hivyo hata kuropoka kwenu kunafanana kabisa na mijitu ya pale bungeni....ulisema mechi hii itaenda matuta ukabeza mechi inayofata sasa mechi imeisha ndani ya dakika 90, unasemaje....
Wako huko kwa bahati mbaya lakini kimsingi Yanga ni CCM, hata wakipata goli utawasikia CCM CCM CCM.....unaonaje soka la wekundu wa msimbaziMkuu Crashwise mbona unaleta maneno ya uchonganishi? Hivi hilo li Rage si li bunge la Tabora ni la chama kipi? Lile li Sarungi lilezi la Simba ni la chama kipi, li Sumaye je silisemei hili, acha niishie hapa huu upande. Mhe. Mbowe ni shabiki wa Yanga ni wa chama kipi?
Acha Simba ipendwe kama Simba na Yanga ipendwe kama Yanga wanachama wa CCM na upinzani wapo kote kote.
Simba inatumia pesa za Rage zinazotokana na malipo ya mshahara na marupurupu ya ubunge alioupata kupitia CCM, sasa wewe unatuambia nini?
Mkuu tupe matokeo ya leo mchana Vita & Atletico, bila kusahau updates ya mechi ya Simba na Azam.Dakika ya 85
APR 7-0 WAU Salaam
Mkuu Crashwise mbona unaleta maneno ya uchonganishi? Hivi hilo li Rage si li bunge la Tabora ni la chama kipi? Lile li Sarungi lilezi la Simba ni la chama kipi, li Sumaye je silisemei hili, acha niishie hapa huu upande. Mhe. Mbowe ni shabiki wa Yanga ni wa chama kipi?
Acha Simba ipendwe kama Simba na Yanga ipendwe kama Yanga wanachama wa CCM na upinzani wapo kote kote.
Simba inatumia pesa za Rage zinazotokana na malipo ya mshahara na marupurupu ya ubunge alioupata kupitia CCM, sasa wewe unatuambia nini?
Yanga=CCM...hivyo hata kuropoka kwenu kunafanana kabisa na mijitu ya pale bungeni....ulisema mechi hii itaenda matuta ukabeza mechi inayofata sasa mechi imeisha ndani ya dakika 90, unasemaje....
dak.20 azam 1 simba 0.
Simba kazi wanayo.. Hawatoki leo kwa Azam naona wameshikwa vibaya yaani wamepakatwa.!
Moja tu? Mi nilitegemea tatu kwa mida hii maana hao simba ovyo kabisa.