KOCHA Mkuu wa Simba SC, Milovan Cirkovic, ametangaza kikosi kitakachoshuka dimbani leo hii dhidi ya Azam katika Robo Fainali ya Kombe la Kagame ambapo wachezaji Uhuru Selemani na Jonas Mkude wataanza.
Kikosi hicho kinaundwa na Juma Kaseja, Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Juma Nyoso, Lino Masombo, Jonas Mkude, Mussa Mudde, Mwinyi Kazimoto, Felix Sunzu, Haruna Moshi na Uhuru.
Benchi watakuwepo; Waziri Hamad, Obadia Mungusa, Kiggi Makassi, Salim Kinje, Kanu Mbiyavanga, Dani Mrwanda na Amri Kiemba.
Kwa kikosi hiki samba lipo lakini magoli mmmmh! sisemi mie.KOCHA Mkuu wa Simba SC, Milovan Cirkovic, ametangaza kikosi kitakachoshuka dimbani leo hii dhidi ya Azam katika Robo Fainali ya Kombe la Kagame ambapo wachezaji Uhuru Selemani na Jonas Mkude wataanza. Kikosi hicho kinaundwa na Juma Kaseja, Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Juma Nyoso, Lino Masombo, Jonas Mkude, Mussa Mudde, Mwinyi Kazimoto, Felix Sunzu, Haruna Moshi na Uhuru. Benchi watakuwepo; Waziri Hamad, Obadia Mungusa, Kiggi Makassi, Salim Kinje, Kanu Mbiyavanga, Dani Mrwanda na Amri Kiemba.
Dakika 63 bado Atletico 1-1 AS Vita
Yaaani yebo yebo mafanikio kidogo kelele nyingi hiki ndio mnachoweza
Dakika 63 bado Atletico 1-1 AS Vita
Hivi ukificha upumbavu wako hutoonekana kuwa umechangia....As Vita wana tatizo kubwa sana la kushindwa kulinda magoli yao,nakumbuka walianza kufunga mechi yao dhidi ya URA wakaishia kufungwa 3-1,wakatangulia kufunga dhidi ya Mnyama,"Mindum" akawasawazishia Mnyama wakaishia kutoka sare,leo tena wametangulia kufunga Jamaa(Attletico) wamerudisha si ajabu wafungwe
mafanikio yapi hapo; ya kushika nafasi ya tatu kwenye ligu kuu ya vodacom? au kumchagua Manji a.k.a Fisadi kuwa mwenyekiti wa Club yenu!!!! duh! hapo mnatisha.
Hivi ukificha upumbavu wako hutoonekana kuwa umechangia....
dakika ya 80 vita 1 atletico 1
......ina ashiria nini kama Salim Kinje, Kanu Mbiyavanga na Danny Mrwanda wanaanzia benchi wakati wamesajiriwa kwa dau kubwa kwanini stumikie Club ipasavyo????
Msuva na Domayo hawajasajiliwa kwenye haya mashindano na Tegete ndo nilishakwambia kama mwarabu wa Dubai anakimbia utafikiri nusu ya utajiri wa Manji wa wake.Kiongozi,hujaijua Yanga ya sasa hivi wewe embu angalia hii list:-
1. Berko/Barthez
2. Juma Abdul/Godfrey Taita
3. Oscar Joshua/David Luhende
4. Canavaro/Ladislaus Mbogo
5. Kelvin Yondani/Chuji anaweza ku'cover hapa
6. Chuji akicheza mahala pake/Kijiko
7. Nizar/Rashid Gumbo/Shamte Ally
8. Febregus/kuna mtoto anaitwa Domayo...huyu ni noma
9. Kiiza/Tegete
10. Bahanuzi/kuna Dogo anaitwa Simon Msuva...huyu ni balaa
11. Mwasyika/Idrissa Rashid
Nafikiri nimejibu swali lako kiufasaha,yaani hao waliokuwa bold ndo 1st eleven ambayo duru za ndani kabisa zimetonya Milovan hataki kabisa kukutana nayo ksbb anajua hana wachezaji wa kuwazuia na hao wengine ndo sub ambazo na zenyewe moto yaani kama ugali moto-mboga moto,bado kuna kina Meddy Kagere wakifanikiwa kusajiliwa itakuwa HATARE siyo HATARI,hapo sijawagusia madogo wengine kama Omega Seme na Salum Telela....Kaka usichezee Yanga hii Kaka
......ina ashiria nini kama Salim Kinje, Kanu Mbiyavanga na Danny Mrwanda wanaanzia benchi wakati wamesajiriwa kwa dau kubwa kwanini stumikie Club ipasavyo????
inaashiria viongozi wanasajiri kwa ushabiki kma mrwanda waliposikia yanga wanamtaka (kutokana na magazeti) wao wakaenda kumsajiri bila ya kufanya uchunguzi kama kweli yanga wana nia hiyo, unajua wachezaji wetu wanacheza sana na media wakati wa usajiri