Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
- Thread starter
-
- #81
Tanzania bado sana kwenye kuonesha soka.....Iwe live ama recorded.....Ni urojo mtupumbwembwe walizoanza nazo nikajua leo balaa,ila hd dk hii wanafnya uchambuz usiokua na maana
Mbona nackia simba wamepeleka jina la Kelvin Yondani kama mmoja wa wachezaji watakaowatumia kwenye mashindano!
Acha utoto bana...........
Haujanijibu ishu ya Uwanja wa wataalamu toka Uturuki na Simba TV mtani....
Hawaonyeshi? TBC wao wapo na muziki.
Hata kama hatuwezi japo wangetuonesha hivyo hivyo. Sisi tulishazoea hata kama picha hazina ubora na re-play hakuna.Tanzania bado sana kwenye kuonesha soka.....Iwe live ama recorded.....Ni urojo mtupu
Yaani mnasubiri kumuuza OKWI ndo mjenge uwanja......Hii kali....hahahaha naona umeanza kupanic, mambo ya simba tv na uwanja tutayaongea tukimuuza okwi..habari za kazi lakini..
Mambo yote Super Sport mtani........Nadhani TV za Tanzania hazina haki ya kuonesha michuano hii......Inaweza kuwa sababuHata kama hatuwezi japo wangetuonesha hivyo hivyo. Sisi tulishazoea hata kama picha hazina ubora na re-play hakuna.
Atletico wanakoswakoswa....Yanga wanakosa goli la wazi....
Atletico timu piga yanga gori 4 - 0,ni mimi omari wa bugurun kwa mnyamani.
Huo ni mtazamo wenu bana......Sidhani kama natakiwa kuwasamehe kwa hilopamoja sana mkuu..Bala tusameheani kaka..