CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Huyu dogo Bahanuz ana 'shine' anaweza kuwa tumaini jipya kwa Yanga na Timu ya Taifa,
 
Dak 83, Yanga 1-1 Mafunzo, Dua zangu zote ni kwa Mafunzo, Ewe Mwenyezi Mungu naomba unisikilize mimi mtumishi wako.
 
Kuna mchezaji wa mafunzo yupo chini kazirai.....
 
Mafunzo tumebaki 9 na golikipa wa kumi, Mungu saidia timu yetu.
 
Mafunzo wanacheza pungufu sasa; mchezaji wao kaumia wakati Sub wameishamaliza.
 
Refa maliza mpira ili twende kwenye penati utende haki maana sisi tumepungua.
 
Hivi mpira ukiisha hivi ni penati au zinaongezwa 30?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…