Yanga na Mafunzo vikosi vya leo(line-up) vimekaaje!!!
Kitendo cha APR kuingia nusu fainali si habari nzuri hata kidogo kwa wana Yanga. Mechi itakuwa ngumu sana kwa vile timu hizi zilishacheza katika hatua ya makundi. APR siyo timu mbovu hata kidogo na itataka kulipa kisasi kwa Yanga, bahati mbaya hatua hii ni mtoano, ikiwa hivyo basi wana Yanga tutakuwa tumepata msiba wa mwaka. Nakumbuka mwaka 1993 kule Nakivubo stadium, Yanga ililala kwa 3-1 kwa SC Villa ya Uganda katika hatua ya makundi, timu hizi zilikutana fainali, mechi ilikuwa ngumu ajabu lakini mwisho Yanga waliibuka na kikombe katika nchi ya ugeni.
Nashauri benchi la ufundi la Yanga liweke mikakati maalum kuiong'oa APR, vinginevyo msiba unanukia.
pole mkuu oska makoye tolu..

hii hapa
1.Yaw Berko - 19,
2.Juma Abdul - 14,
3.Oscar Joshua - 4,
4.Nadir Haroub Cannavaro (C) - 23
5.Kelvin Yondani - 5
6.Athuman Idd Chuji - 24
7.Rashid Gumbo - 16
8.Haruna Niyonzima - 8
9.Said Bahanunzi - 11
10.Hamis Kiiza - 20
11.Stephano Mwasika - 3
Subs;
1.Ally Mustapaha 'Barthez' - 1
2.Godfrey Taita - 17
3.Ladislaus Mbogo - 29
4.Juma Seif Kijiko - 13
5.Idrisa Rashid - 12
6.Shamte Ally - 15
7.Jeryson Tegete - 10
Head Coach: Tom Saintfiet
Assistant Coach: Fred Felix Minziro,
Goalkeeper Coach: Mfaume Athumani
Team Physician: Dr Sufian Juma
Massagist: Jacob Onyango
Kit Manager: Mahmoud Omary (Mpogolo)
URA kwa heri .haitakuwa ajabu fainal ikazikutanisha timu zote za tanzania
Yanga wanapata goli mwamuzi anasema offside ni hamisi kiza diego yanga 0 mafunzo 0
dakika 14 yanga 0 mafunzo 0
Mafunzo team, piga hao Yanga goli moja.
wasiwasi wangu ni kwa Rashid Gumbo, vipi Nizar Alfan ni majerui???
hasa azam fc na mafunzo..:A S-coffee: