Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
- Thread starter
-
- #921
Sunzu ni wa aina ya akina Davis Mwape na Kenneth Asamoah, ni bora kubaki na akina Abdallah Juma na Said Buhanuzi wetu.....Mkuu Sunzu sio Garasa ni upepo tu utapita, mtatamani kumsajili huko tuendako.
Mshindi wa nafasi ya tatu kundi A (ambaye ni Simba)anakutana na mshindi wa kundi B ambaye ni kati ya Mafunzo na Azam lkn kwa utaratibu jinsi ulivyo Simba lazima akutane na Azam.
Sunzu ni wa aina ya akina Davis Mwape na Kenneth Asamoah, ni bora kubaki na akina Abdallah Juma na Said Buhanuzi wetu.....
Hao akina Sunzu wanalipwa pesa nyingi kweli licha ya kwamba ni magarasa......
Ukweli ni kwamba Sunzu ni garasa mtani(sory to say that......)...........
Atakuwa mafunzo.
Kwanini Balantanda hebu dadavua kitaalam, kwa maoni yangu Sunzu huwezi mfananisha na Davis Mwape mkuu ukiangalia Sunzu ilikuwa anatoka katikati anaenda kutafuta mpira pembeni unakuta hakuna mtu pale kati kati.
Atakuwa mafunzo.
Nadhani ni kila mtu na mtazamo wake mtani......Kwangu mimi Sunzu=Mwape=Asamoah= Magarasa.......Kwanini Balantanda hebu dadavua kitaalam, kwa maoni yangu Sunzu huwezi mfananisha na Davis Mwape mkuu ukiangalia Sunzu ilikuwa anatoka katikati anaenda kutafuta mpira pembeni unakuta hakuna mtu pale kati kati.
kama ndo hivyo basi esabu kuwa Simba tayari ameisha ingia nusu fainali.
Mkuu simu yangu ina matatizo na muda wa mechi mara nyingi nakutwa nikiwa kibaruani hivyo nashindwa kuchangia kitua mabacho sija kiona tofauti na mechi ya jana na leo angalau naweza kuzielezea yanga, Azam na Simba...Nadhani ni kila mtu na mtazamo wake mtani......Kwangu mimi Sunzu=Mwape=Asamoah= Magarasa.......
Btw.....Naona siku hizi unashindwa hata kuchangia jamvini,unasubiri msawazishe ama mfunge goli la ushindi ndo unatokea........Lol........Mpira ni kushinda,kushindwa ama kutoka sare mtani......Usiogope kufungwa.......Iga mfano wa wanamichezo wa ukweli bemg, Masuke na PrN-kazi bana
Pole sana mtani.....Mkuu simu yangu ina matatizo na muda wa mechi mara nyingi nakutwa nikiwa kibaruani hivyo nashindwa kuchangia kitua mabacho sija kiona tofauti na mechi ya jana na leo angalau naweza kuzielezea yanga, Azam na Simba...
Mkuu simu yangu ina matatizo na muda wa mechi mara nyingi nakutwa nikiwa kibaruani hivyo nashindwa kuchangia kitua mabacho sija kiona tofauti na mechi ya jana na leo angalau naweza kuzielezea yanga, Azam na Simba...
Mkuu karibu.
kwa hali hiyo umeeleweka mkuu; pole sana kwa najukumu.
Pole sana mtani.....
RATIBA ROBO FAINALI
Julai 23, 2012
Mafunzo vs Yanga
URA vs APR
Julai 24, July
Atletico vs AS Vita
Azam vs Simba SC
Yanga kwa kiwango cha jana mtawatandika hao mafunzo zaidi ya golli 2..ila naomba tukutane ili tukate kidomodomo chenu..hahahahahaahPole sana mtani.....
RATIBA ROBO FAINALI
Julai 23, 2012
Mafunzo vs Yanga
URA vs APR
Julai 24, July
Atletico vs AS Vita
Azam vs Simba SC
kwa hii ratiba kwa Yanga Semi-final ni 100% na Simba Semi-final ni 50%