Hapa sasa naweza nikaenda uwanjani kuwaona mechi ya robo fainali, Vijana wa Simba mmecheza vizuri sana, Sunzu usihuzunike wala usifadhaike hiyo yote ni mipango ya Mungu tusikutane na Atletico robo fainali.

Mshindi wa nafasi ya tatu kundi A (ambaye ni Simba)anakutana na mshindi wa kundi B ambaye ni kati ya Mafunzo na Azam lkn kwa utaratibu jinsi ulivyo Simba lazima akutane na Azam.
Mshindi wa nafasi ya tatu kundi A anakutana na mshindi wa kundi B ambaye ni kati ya Mafunzo na Azam lkn kwa utaratibu jinsi ulivyo Simba lazima akutane na Azam.