CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Tusker safari njema kazi imekabaki kwa timu za tanzania kulibakisha kombe hili
 
Kwa hiyo Azam na Mafunzo inabidi warudiane kupata wa kwanza na wa pili?
 
Kiraza ww kwahiyo kutokujua Lugha ndo kutufanye na sisi tusifuatilie. Jf kumbe kuna watu Vilaza sana aiseee. Hv we upoje? Au unataka watu wapate Ban? Mod huyu mnamchukuliaje lakin

Ha ha haa! wewe ndiye li kilaza hasaa! Kuwapa pole Wakuu ni utamaduni wa Kitanzania na siyo kuwataka wasifuatilie mechi hizi, lengo la post hii ni kuwajuvya Wakuu jinsi li-luga la kidhungu linavyowatesa Weupe kwa Weusi.

Mod hawezi kukupa ban kwa kutoa mawazo yako halali uwe na amani huku ukirejea signature yangu hapa chini, yaani soma Hosea 4:6.
 
ila bocco bwana kazi ipo migoli kibao kakosa daa haina bora tumepita..
 
simba kazi moja tu funga goli zaidi inavyowezekana
 
Hivi hawa watangazaji wenu wa hii NyotaTV wako sawasawa kweli,kwenye lin-up ya Simba amemtaja Amir Maftah kama beki 3 leo wakati the guy was injured
 
Bora amejisahihisha,lkn hd anatungazia hiyo list anakuwa ameichukua kweli kutoka kwa wenye team au anapanga list kwa mujibu wa mtazamo wake kama Masuke anavyotupangiaga hapa?
 
Naona leo mtaalamu Shomari Salum Kapombe yupo ndani ya uwanja......

I wish Kapombe angecheza pale kati na Juma Nyosso
 
Ha ha haa! wewe ndiye li kilaza hasaa! Kuwapa pole Wakuu ni utamaduni wa Kitanzania na siyo kuwataka wasifuatilie mechi hizi, lengo la post hii ni kuwajuvya Wakuu jinsi li-luga la kidhungu linavyowatesa Weupe kwa Weusi.

Mod hawezi kukupa ban kwa kutoa mawazo yako halali uwe na amani huku ukirejea signature yangu hapa chini, yaani soma Hosea 4:6.
sasa yeye unavyosema kuwa tunaacha kufanya shughuli za msingi na tunaangalia haya mashindano,una maana sisi ni wajinga au
 
sasa yeye unavyosema kuwa tunaacha kufanya shughuli za msingi na tunaangalia haya mashindano,una maana sisi ni wajinga au

Ah ah anamaanisha inabidi tutumie vichwa vyetu zaidi ya kufugia nyweli
 
Back
Top Bottom