CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates


Koote nakubaliana na wewe isipokuwa hapo kwenye red,unajua toka team ya Ndetichia icheze na Mafunzo haijateremka tena dimbani ndo inatarajia kuteremka mchana huu dhidi ya Tusker ya Kenya,sasa kwa mpango huu nani amepewa siku nyingi za kupumzika kati ya Simba na Yanga kwa upande mmmoja na Azam upande mwingine?
Pamoja na hayo haya mashindano yana gharama zake katika kuyaendesha na ndo maana TFF ikishirikiana na CECAFA huwa wanakuja na mbinu tofautitofauti katika kuhakikisha angalau wanapata something itakayosaidia gharama za kuendesha haya mashindano,ikumbukwe Rais Kagame yeye hutoa zawadi kwa Mshindi tu
 

Maskin Nsajigwa
 

Well clarified.
 

yule bwanamdogo hatafuti namba bali makocha ndo wanakazi ya kutafuta wapi acheze
 
Wekeni majina mgongoni kwenyejezi,maisha yanakuwa rahisi kwetu.
 
Wekeni majina mgongoni kwenyejezi,maisha yanakuwa rahisi kwetu.
Wewe nawe umeng'ang'ania majina kwenye jezi ya nini, cha muhimu namba, sisi hatuna wino wa kuandika majina mengine marefu kama Bahanuzi, Mbiyavanga, Shikokoti, Balatanda, Ulimakafu. Kwa hiyo tuvumilieni tu na namba hivyo hivyo.
 

Kaka, nomenclature uliyoitumia hapo juu kwenye quarter final matches sijailewa.
Kwa mfano leo nimeona gazeti moja linadai machampioni Yanga Afrika wataweza kukutana na Simba kutegemeana na matokeo ya leo. Jingine linasema Yanga Afrika watakutana na yoyote kati ya Mafunzo, Azam au Tusker!

Sasa which is which wajameni???
 
Azam pull up please funga huyo Tusker
 
red card kwa Tusker na Azam wanapata penati
 
Hivi kipa akidaka mpira nje ya 18 ni red card au njano?
 
goalkeeper wa Tusker ametolewa kwa red card
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…