Mhh wameruhusu bao tena. Inaweza kuwa-cost mbele ya safari...
Nizar alipokuwa Vancouver White caps 3 yrs ago alikuwa 24, sasa hadi leo bado ni 24...!! bongo bana... hata nsajigwa nae anajiita late 20s wakati Okwi alituonyesha jamaa kiumri ni Giggs flan... :A S cry: